Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa. :ranger:
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Haya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Today I've not been able to access the Internet using TTCL Broadband Service - And no word or any sort of notification have been issued by TTCL Management!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuunganisha internet kwenye simu yangu.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa kuifanya simu yako Wi-Fi HotSpot waweza kuunganisha kwenye internet laptop zako kwa wireless haijalishi ni laptop ngapi, zote waweza kuziunga kwa wakati mmoja. Download and install Joikuspot...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By ANTHONY MATHIAS KAYEJI 2010 HOW SCIENCE CAN BE POPULARIZED IN TANZANIA Tanzania like many other countries in the world has been making deliberate efforts towards developing and improving...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
habari zenu wana jamii 4rums ndugu tunaongelea mengi kwenye hili jukwaa kuhusiana na maswala ya computer ila nimekaa nikafikiri kwa mwanafunzi wa sekondari kompyuta inaumuhimu gani kwake...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Mwaka 2010 umekuwa wa kipekee kwa namna nyingi kwenye masuala ya teknohama nchini , umekuwa matukio mengi yaliyohusiana na teknohama nchini mengine ya kuharibu nchi na mengine ya kujenga nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania wezangu napenda kuwa fahamisha katika nchi za wenzetu chombo kama dstv kilichopo tanzania kina fanya kazi ya ku provide internet na television lakini kwa hapa tumeshindwa kufahamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TROJAN ni mfumo wa recomand key ambao mafaili yana weza kuya fanya mafaili mengine kufanya yanavyo taka. FAIDA utumika kwenye crank vitu ambavyo vimelock urecommand computer uwa kama akimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Good Morning, Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KATIKA NJIA ZA KUFANYA ZIPO NJIA NYINGI ZA KUFANYA KWA HARDWARE AU SOFTWARE HARDWARE SEHEMU YA CMOSS BETTRY HITOE KWA MUDA WA SIKU MBILI HILI AC ZIPOTE KUMBUKUMBU KAMA IMESHINDIKANA SOFTWARE...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje makampuni ya simu kama voda,tigo na airtel bei sms ni juu kiasi hiki? yaani sms moja ni zaidi ya tsh 100/=, au nao ndio msimu wao wa kuvuna?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nasikitika sana kweli ndomaana yesu na uruma yake yote sisi wanadamu tuka mtundika msalabani na mimi si mtanifanya hivyo kuomba kwamba msaada si kwapesa kukuonyesha kwamba na weza sio natania...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
STEP INGIA KWENYE DESKTOP>RIGHT CLICK MOUSE OPEN TEXT.DOCUMENT KISHA INGIZA JINA JINA KABLA YA KUINGIZA KITU NDANI YA TEXT.DOC na isave kwa jina ili (EICAR Test code) KISHA NDANI YA HIYO TEXT...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Update mpya ya AVG inaharibu Windows. PSA: Botched AVG 2011 update might be why your PC won't start today -- Engadget
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hotfile.com Hourly Limit Bypass Hack So you’ve found yourself wondering why you can bypass the wait timer downloads, but haven’t had any success trying to bypass the HotFile.com hourly limit...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu popote mlipo, mimi nina tatizo la kufungua html files kwenye pc yangu. Nashindwa kuelewa kwa nini hazifunguki coz sio zote kuna baadhi zinafunguka, na kinachonishangaza zaidi ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake. Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumzuia Jirani yako asitumie Wireless Connection yako bure bure tumia njia hii hapa Chini Hi there. What's happening here is that your router is broadcasting what's called a SSID (a name...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…