Over five years, the man racked up more than $1.3 million
A Nigerian man has been sentenced to 12 years in prison for sending out fraudulent e-mails offering victims...
Shinda yangu ni kutaka kurekodi mazungumzo baina ya pande mbili kwa kutumia computer.
Nilidhani moderm ingeweza kunisaidia kwa kuwa ina option ya kupiga na kupokea simu LAKINI baada ya...
Nimekuwa nikifika katika hospitali ya Turiani mara kwa mara na kwa kweli mawasiliano ya Zain na Vodacom hayaridhishi kabisa.
Ni vigumu kupata internet na simu inakatika sana.Eneo hili lina...
Debian GNU/kFreeBSD is an operating system from Debian, but which uses the kernel of FreeBSD instead of the Linux kernel (thus the name). Some day, most applications would exist both in Debian...
Habari zenu wadau.... Nahitaji msaada wenu
Nataka kufungua internet cafe sasa nipo kwenye njia panda. Kuna SASATEL & TTCL.
Ni ipi kati ya hawa providers wana cheap, reliable & speedy internet...
Waheshimiwa kuna mtu yeyote jamvini hapa yuko kwenye ma-SAP,ningependa kupata mwongozo wa kuingia upande huo...bado naendelea kufanya utafiti na ingekuwa jambo la busara sana kupata mwongozo...
fuata maelekezo yafuatayo
1.fungua new text document
2.copy code yoyote(kifungo cha maneo ya kwanza au ya pili)
3.nenda kwenye file chagua save as(andika jina lolote unalotaka mbele yake...
Katika browser ninayopenda nikiwa kama programmer wa web based systems ni firefox. Mi naona microsoft wangeachana na biashara ya browser maana browser zao ni kituko sana.
Mfano kuna technologies...
Over the weekend I have been reading about the use mtDNA on determining human population distribution. I came a cross a name of anthropologist Fatimah Jackson, who with her colleague (Lieberman)...
Guyz i ask for help,currently am developing a web based application that uses PHP and mysql, i have put a link in my home page that directs to that application now the problem is hii application...
TEDxZug - Lukas Ritzel
Lukas Ritzel, Web Strategist, Lecturer and Cybersurfer talks about recent trends into a more sensory web through tablets, touch technologies and augmented reality and...
Jamani nina simu ya kichina ..lakini kila nikijaribu kuseti internet/wap nashindwa. Kinachonishinda hasa ni pale ninapo hitajika kuingiza IP adress...naombeni msaada kwa yeyote wenye ufahamu wa...
Nawatoleeni Salam wahusika wote na wakuu Wenzangu nataka kujuwa kuhusu huo Umeme wa Jua ( Solar Power) Je nikitaka kununuwa hapo kwetu haswa hapo Dares-Salaam ni Vifaa gani vilivyo bora vya...
Wadau nimekutana na malalamiko haya toka kwa mdau mmoja. Ebu yafuatilie na uone ukweli wake na malalamiko yapelekwe TCRA. Tusikubali kuendelea kuibiwa.
There is advertisement going on by the...
Habari za asubuhi wanaJF?
Nina simu yangu nokia E71 hapo hawali nilikuwa na fungua email zangu Yahoo/Gmail bila wasi wasi kwa kutumia Browser ya Operamini, wiki mbili sasa siwezi kufungua e-mail...
Wana Jf najua tuna majukumu mengi sana ya uchaguzi wa October lakini naomba kwa wale wenye maduka ya kuuza vifaa vya umeme au kwa wale wanaofahamu naomba wanisaidie ni wapi hapa kwetu Tz naweza...
wadau kwa wale ambao cd zao wanataka watumie wo wenyewe hawataki umbea wanaweza tumia hii software kuweka password kwenye cd zao wakati wa kuburn.
Secure Disc Creator v2.1 Cracked-F4CG
With...