Wenzangu Wa JF;
Habari za jioni!.
Napenda kuwa taarifu kuwa kuna web site iitwayo Kijijibay.com ambayo malengo yake ni kuwezesha Watanzania kuuza and Kununu bidha kwa watu ambo wanataka kuuza...
Wakubwa naomba haraka mwenye nayo soft ware Itune version 9 na safari version 5 nataka kuweka vitu kwenye apple ipod kwenye computer hizi za ofisini zimezuiliwa kudownload toka kwenye net mwenye...
Wakubwa,
Mathalan Ubuntu.
Nime instal Gnome Phone Manager lakini sioni sehemu ninayoweza kwenda kui execute. Synaptic Package Manager inaonyesha ipo. Wapi, haisemi. Itakuwaje?
Nikitaka...
ALBUQUERQUE, NEW MEXICO -- Make way for the ultimate high-rise project: the space elevator. Long viewed as science fiction "imagineering", researchers are gathering momentum in their pursuit to...
nawezaje kutumia iPhone kwa social networks bila kulazimisha kupitia iTunes kwani account yangu ilishafungwa since ntoke kwa watu (ilikuwa AT & T),only social networks zinagoma kufungua/kudownload...
Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata
Asanteni wakuuu
1. How can animals find their way back home?
2. What if animals could plan, reflect and cheat?
3. Do animals lie or feel guilty?
4. Are there other species in mamals/animals practising same...
Ndugu wadau JF,
Hivi karibuni jirani yetu Uganda alipitisha sheria ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya electronic vilivyotumika kufuatia ongezeko la uchafu unaotokana na vifaa hivi nchini. Pia...
JIFUNZE ZAIDI KUHUSU LESENI/PROGRAMU ZA BURE
Inasemekana kwamba moja ya sababu ya Uhalifu wa Leseni za Programu haswa kwa nchi za dunia ya tatu ni Bei kubwa za programu kadhaa ambazo watu...
Computer yangu ina DVD writer aina ya "NU DVDRW DDW-082". Inaweza kusoma Audio CDs lakini haisomi data CDROMs kabisa! Mwanzoni ilikuwa inafanya kazi vizuri, ghafla imeanza tatizo hilo! Nimejaribu...
Kunahitajika SUNY System Version 4.3 Accounting Software kwa ajili ya users 4, pia tunataka atakayeweza atatakiwa kutoa mafunzo ya namna ya kuitumia. Kwa sasa ofisi imekuwa ikitumia SUNY System...
Nina wiki kadhaa sasa nashindwa ku-access JF kupitia . www.jamiiforums.com na badala yake lazima nipitie www. Jambotanzania.net. Je, kunani?
Wadau lazima wapitie Jambotanzania.net? (which is...
Please check with your service provider if you have been properly registered by either hitting *106# or dialling 106 or sending SMS to 106.
Please pass this message as widelly as possible
Top 10 MP3 players
When choosing a new MP3 player, most people have only one question in mind: what kind of iPod shall I get?
From the shuffle to the nano to the beautiful...
3 things that Microsoft could
Never
Explain....! !!
MAGIC #1
An Indian found that nobody can create a FOLDER anywhere on
the Computer which can be named as "CON". This is
something...
Utafiti wangu unaonyesha kuwa options ni mbili so far.
Naona Voda wana Bomba30 for 30,000/= ambayo ni unlimited use for 30 days, lakini speed wanaminya.
Zantel nao wana 2GB for 10,000/= kama...