Alternative Energy Building A Better Biofuel Bug
Jonathan Fahey, 02.11.10, 07:30 PM EST
Scientists have engineered a new bacteria strain that spits out biodiesel.
Source...
Wakati mmoja nchini Burma kulikuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wapinzani wa ndani kwa kushirikiana na wanaharakati wengine kipindi hicho hakukuwa na mitandao jamii kama facebook , tagged au...
Salaam wadau wote..
Naomba wakuu kama kuna mtu anaweza kusaidia kutatua hilo tatizo hapo juu, inawaka vizuri ila kuna muda inaweza kushindwa kuonyesha hata welcome page pia kuna muda ukijaribu...
Naanza kwa salaam kwenu nyote,
Pili Nawapongeza na kuwashukuru wachangiaji wote kwa kuendelea kutuelimisha.
I have a slighly problem with Symantec Endpoint Protection 11.0.4. Off course its...
Kuna wakati inafika unataka kufanya setup kwa kutuia simulator kama vile wale wanaopenda kutumia GNS3,sasa je unajua ni ninsi gani unavyoweza kuset loopback address na kukuwezesha kulink simulated...
Wakuu naomba msaada hapa!!
Kwa muda wa mwaka mmoja sasa natumia window vista na Ms office 2007, ila mwezi wa december computer yangu ili-crash na nikaamua ku-reinstall window. Sasa kila...
Habari wana JF, Naomba msaada wa kupata link au kama mtu ameshaipata anitumie kwani nina shida ya Biblia (Holly Bible software) na Msahafu Islamic software nataka ni install kwenye Laptop yangu...
http://edition.cnn.com/2009/HEALTH/03/16/mosquito.laser.weapon/index.html
"Star Wars' scientists create laser gun to kill mosquitoes"
Scientists in the U.S. are developing a laser gun that could...
hii machine amenunua jamaa yangu, haisomi cd, wala cd rom haionekani kabisa. tumejaribu kubadili cd drive lakini hakuna kitu (wala haiombi instalation.....ng happens!!!), tumejaribu kubadili...
Wadau, laptop yangu tangu juzi inaleta maneno yafuatayo;
"The Logon User Interface DLL msgina.dll failed to load" contact ya system administrator to replace the DLL, or restore the original"...
Hi Team
Kuna Mtu ameshawahi tumia hii Computer...Ikiwa na 64bit.Ni matatizo gani ambayo umekutana nayo.Nimenunua hii machine.64bit nasikia zina matatizo kwenye drivers zake kwa kuwa nyingi ziko...
Habari wakuu, nadhani nitakuwa nimekuja katika sehemu sahihi. Nina camera aina ya fujifilm A800 na laptop aina ya Mac lakini mara ninapoconnect camera haisomi kabisa katika computer.
Tatizo...
Google Buzz goes after Facebook, Twitter
By Doug Gross, CNN
February 9, 2010 5:05 p.m. EST
Google Buzz, a feature of Gmail, aims to compete using elements similar to Facebook and Twitter...
MATAPELI WA INTERNET.
Kuna email inatumwa ikiwa na subject ya "Yahoo Update" au "Gmail Update" au "Hotmail Update". Hii Email inauliza User Name, Password, Birth Date, na Country. Tafadhali...
Nina Toshiba Laptop A205-5833 with Windows Vista, nataka kuiformat nahitaji recovery cd yake ili niweze pata drivers zote. Nalimwaga jamvini mwenye msaada tafadhali.
CHANGAMOTO KATIKA MASHINE SAKA SEARCH ENGINE
Kwa watumiaji wa Kompyuta haswa wale wanaotembelea mitandao mbalimbali ya kompyuta duniani kitu Mashine Saka sio kigeni kwao , wamekuwa...