Posted: Friday, January 29 2010 at 06:00 am CT by Bob Sullivan
Courtesy PandaLabs
Turning hijacked computers into cash is still hard work for most computer...
Hii ni wiki takriba ya 3 na jaribu kutuma SMS kwenda nje ya nchi South Africa/USA bila mafanikio,niki tuma SMS kwenda South ina kwenda na nakatwa pesa kwenye simu ila haifiki kwa muusika...
UAC or User Account Control is one of the very good features provided by Windows Vista and Windows 7. However, many people try to disable it as they think that UAC is useless!
Malwares attack...
Wana JF habarini za Usubuhi poleni na majukumu ya hapa na pale.
Naomba msaada wa haraka nikitaka kufungua kitu kwenye my computer hakifunguki na mimi natumia NOD32 ANT VIRUS kwani pia inagoma ku...
NATAMANI WANGEPATA NA YA KUPIMA MALARIA !!!
Breath-based glucose sensor for diabetics is developed
A tiny new sensor shows the potential to help diabetics ditch finger pricks for good
By...
Bonyeza hapa palipo andikwa Download utaipata hiyo Program ya kuondowa hizo Anti-Virus Fake Katika Computer yako
Latest updated :
Link I Link II
md5: 0891C621DCEE4515DFE11A459DE4091B
Pad File...
Content providers would be responsible for content, copyright infringment
updated 12:19 p.m. ET Jan. 26, 2010
ROME - Internet companies and civil liberty groups have voiced alarm over a proposed...
Kila Mtu Kusafiri Kwa Ndege Yake Mwenyewe...
Ndege ya mtu mmoja "Puffin" inavyokuwa ikiwa anganiMonday, January 25, 2010 8:37 PM
Muda si mrefu kila mtu atakuwa na uwezo wa kumiliki ndege na...
Wakuu,kuna mdau alinitumia e mailna tatizo moja,hivyo nimeamua kushare na wengine kwani ndani ya AF tunaongelea matukio yanayotokea kwa wakati wa sasa.
swali lilikuwa kama hivi..
Hi...
Taking on Google Maps in the navigation space, Nokia introduced on Thursday a version of its Ovi Maps application for Nokia smartphones, offered at no extra cost.
The new version of Ovi Maps...
Huduma hii ikiwa imezinduliwa mwaka jana tu tayari ina wafuasi zaidi ya elfu ishirini(20,000) na wengine wanaongezeka kila siku kwa kasi. Imeshasaidia watu wengi kupata kazi kirahisi kutumia simu...
Wazee kuna mtu ana experience na hii technology, kwa maana ya horse-mouth experience??
Nashawishika kuwekeza kidogo huku inshallah kama hali itaruhusu.
http://www.microsoft.com/surface/Default.aspx
Kwa watumiaji wa mtandao wa Selcome hembu mtujuze kuhusu huu mtandao,nimeona bei zake ziko poa kwa kutumia vocha zao za Uhuru one unaweza kurecharge kwa saa kwa shilling elfu moja na masaa...
Hi Team
Nimekuwa Niki surf kwenye internet kuangalia version mpya za computer na specification zake.
Kuna Hizi RAM Mpya kwangu na sijui utofauti wake ni upi...DDR,DDR2,DD3...4GB DDR2 memory ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.