Hapa TZ. Internate cafe nyingi haziruhusu kutumia. Laptops kwenye cafes zao na kama wanarusu basi bei ya muda wa kutumia huwa mara mbili zaidi kulinganisha kama ungetumia PC za cafe sijui tatizo...
Naomba msaada kama kuna mtu hapa Dar anayefahamu cafe yenye uwezo wa kushusha file haraka na kwa speed hapa Dar,cafe nyingi hapa Dar hawaruhusu kushusha faili ,zamani nilikuwa naweza shusha faili...
Mwaka 2010 ndio uko mwanzoni kabisa pamoja na ni vizuri tuangalia matisho ya uhalifu unaoweza kufanyika kwa njia ya mtandao kwa mwaka huu ili wengi wetu waweze kuwa makini zaidi .
Si unajua...
Salamu sana wana jamii wote.
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hatua ya kizalendo aliyoichukua kuunda Kamati ya kupitia mikataba ya madini...
Kwahiyo umekuwa unahangaika kupata Linki za tovuti mbalimbali za kitanzania si ndio ? kama ni ndio jaribu kutembelea www.tzlinks.com ni moja ya tovuti yenye Linki nyingi kuliko zote mpaka sasa...
Ten Stupid Things You Can Do To Mess Up Your Computer
Okay, I'm using a little reverse psychology on you... If want to keep your computer running smoothly and avoid becoming a target for cyber...
Windows Password Reset
Category: Security
"I changed my Windows login password yesterday, and now I can't remember it! Is there any way to reset the windows password, so I can regain access to...
Mimekuwa najiuliza kwa nini wanafunzi wengi wa kitanzania ni wachovu ktk masomo ya software engineering? Je ni waalimu hakuna? au inakuwaje?
Hali hii inajitokeza hasa wanapokwenda nje kufanya...
Ndugu Zanguni,
Heri ya mwaka mpya 2010.
Kwa kifupi ndugu yenu siko vizuri sana ktk hili. Ningeomba kujuzwa hivi nitumie ujanja gani ? Nina mafaili yangu makubwa ya documentary, format ya .MKV...
Kuna wakati tuliwahi kutembelea na rundo la CDs bila kusahau Floppy Discs ambazo ndani yake kuna programu mbalimbali za kutumia Kwenye komputa au ni programu zinazotumika kusaidia katika kuifanya...
My boss wants me to install some monitoring software on our office computers,i've no idea where to start looking, does anyone have any experience with a decent one?i've tried the filters built...
Kwa anayefahamu jinsi ya kuweka avatar inayochezacheza kutoka kwenye website na kuisave kwenye desktop na iendelee kucheza hivyo hivyo anifahamishe tafadhali, kila nikijaribu inagoma. thx in advance
Jamani hivi serikali ikisaidiwa na Idara husika mbona haiwathamini wawekezaji wadogowadogo ambao ni wazawa??? Kuna watu kadhaa nawafahamu ambao wangependa sana kufanya ma investment Tanzania...
Hivi teknologia mbalimbali tulizonazo zinatupunguzia kazi kweli kwa ujumla wake...??? Maana nikijaribu kukumbuka idadi ya PASSWORD ninazotakiwa kuzikumbuka kwa kichwa.........we acha tuuu
1. ATM...
Wakuu heshima mbele!! Kuuliza si ujinga!! Naomba kujuzwa jinsi ya Ku quote post za watu zaidi ya mmoja pale unapotaka ku reply post!! nimeona kuna wataalamu hapa waki quote watu zaidi ya mmoja na...
Preparation Guide for use before posting about your potential Malware problem
Print Guide!
Hi and welcome to the Bleeping Computer malware removal forum. If you are reading this...
Hi,
I have noticed a number of JF members asking for survey participants for Telecoms related researches they are undertaking lately. Maybe someone here is in a position to assist me.
I am...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.