Hapa kwetu TZ siku hizi kuna watu wengi wanaitwa Dr. somebody au Prof. somebody. Lakini ukienda kwenye strong journals duniani huwakuti kabisa majina yao katika articles. Hivi huwa wanapata hizo...
Hello wana JF
Nina Cisco Catalyst 500 series switches kwenye LAN yangu. Kwa vile sina Internet connectivity, nimevuta cable moja kutoka kwenye switch na kujiunga na network nyingine yenye...
Habari zenu wana JF?
Kuna program moja inaitwa Latex kwa ajili ya kuandikia report kama vile dissertation/Project na article na vitabu vile vile...
Hii ni program unaandika ktk txt form...
JESHI la Polisi limeunda timu ya kuchunguza matukio ya uhalifu kwa njia ya mitandao, simu za mikononi, ATM za mabenki na huduma nyingine za mitandao cha Ant cyber crime Unity ili waweze kubaini...
Ndugu zangu leo nimeona niongelea juu ya huduma ya BIS kwa kutumia blackberry kati ya kampuni ya Zain na Vodacom,ingawa hii mada imewahi jadili hapo kitambo,kuwa ni kampuni ipi ambayo inatoa...
NIMEUNGANISHWA NA DUNIA
Sikuwahi kuota hata sikumoja kama kuna siku nitakuja kuungishwa na dunia kama ilivyo sasa hivi , lile neno la dunia kuwa kijiji kimoja sasa limeanza kutimia kwa kiasi...
Sijui ni kujiamini sana kwa kuwa na wateja wengi, sijui ni dharau, mtanisaidia,
Angalia, wanafungua saa 4 asb hasa mbagala, wakati wenzao saa moja,
vibanda viko vichache, barabara...
Ni kweli kwamba kila mtumaji wa computer popote alipo nyumbani , kazini na sehemu zingine mbalimbali anategemea sana antivirus kwa ajili ya ulinzi wa computer yake haswa upande wa programu na aina...
Nimejaribu kufuatilia suala la credit cards za Exim na kupewa utaratibu wao kwa muhtasari. Ingawa wamejitahidi sana kutoa hiyo huduma, bado nadhani kuna vitu ambavyo wanatakiwa kutuelimisha. Kwa...
Ndugu wana JF, Naomba kuelimishwa!
Tanzania, wataalamu wengi waliosomea maswala ya engineering wanapenda kujitambulisha kwa initiala za Eng. someboby (eg Eng Wande and so on).
Je huu ni utaratibu...
Habari wakuu wangu poleni na majukumu
Naomba msaada wa kuremove software kwani nimejaribu ku uninstall imenigomea sasa na mimi natumia LG laptop
Nasubiri wakuu wangu
LINKI ZA NJE
Ndugu zangu kumetokea baadhi ya wanachama wenzetu kwenye majukwaa haya kutoa linki za nje kwenda kwenye baadhi ya tovuti ambazo sio salama matokeo yake ni kwa wale wasiojua...
I have a notebook acer aspire 1800. I have a problem. When i connect the a/c cord the notebook start to beeps. and flash the light. Could someone help me.?
Hellow wana jamii
Polen na majukumu
Nina Laptop HP Pavilion dv2000 but ukienda kwenye system Infomation imeandikwa HP Pavilion dv2700 na kwenye iliyobandikwa karibu na sehemu ya mouse ni HP...
Wakuu JF Nawauiiza Swali ipi ni bora kati ya hizi Tatu WINDOWS XP WINDOWS VISTA na WINDOWS 7? Na kwanini imekuwa Bora zaidi ya nyingine? Towa ufafanuzi tafadhali.
Mimi natumia PC ambayo tunashare na mwenzangu, sasa nina login kwenye forum kama jamii, baadae inabakiza kumbukumbu kuwa nguvumali alilogin, sasa inanikera sana.
naleta kwenu wanatechnolia ya...
Habari wakuu, naingia tena jamvini kwani nilipotea kwa muda kwani huyu provider wangu some times analeta kasheshe. Swali langu sijui kama kichwa cha habari hapo juu nimekiandika sawa...
Zantel wameondoa huduma ya GPRS kuunganisha kwenye computer, ni wiki ya pili sasa najaribu kutumia simu yangu kuunganisha internet kwenye laptop yangu bila mafanikio yoyote.
Kila nikiunganisha...