Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Kama umenunua kompyuta inayotumia mfumo wa window mara zote tunaita "PC". LAKINI wakati mwingine Mac nazo zinaitwa "A PC" pia. Je Kuna Siri Gani apa!! kwanini kompyuta zinaitwa PC hata hivyo...
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Kila siku tunasikia wimbo kwamba TEHAMA tuko nyuma, tunahitaji wataalamu. Tunaona serikali ikihama kutoka kwenye paper files kuelekea kwenye mfumo wa mtandao; kuanzia malipo, maombi ya ajira...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, leo kwenye pita pita zangu mtandaoni; nimeona kwamba Tanzania ipo miongoni mwa nchi chache Afrika ambazo Amazon inaweza kutuma (ship) mizigo. Hivyo, nilitaka kudadisi kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumia Samsung Note 4 Verizon i.e N910V, firmware yake ni N910VVRU2BOG5. Nataka kubadili N910V kwenda N910F, nitajieni international firmware (N910F) itakayoendana na firrmware ya Verizon ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha...
1 Reactions
5 Replies
654 Views
Wakuu, habari zenu humu ndan. Katika simu yangu, kuna baadh ya Contacts ninapoChatt sion alama za vema mbili za blue ishara kwamba zimesomwa(Read), halafu najibiwa vzur tu ishara kwamba...
0 Reactions
6 Replies
815 Views
Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa...
0 Reactions
3 Replies
668 Views
Ninunue mick ya aina ipi kariakoo ambayo ni nzuri na imara isiyozidi bei ya laki mbili na nusu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba mnijuze ni App free ambayo ina operate as MS word Avhana na Ile WPS Office
1 Reactions
5 Replies
898 Views
Wakuu kwema Ni kitambo sasa sijadownload miziki haswa ya nje ambayo nilikua naipakua bila shida mp3direc mp3juice moja kwa moja bila longo longo ya matangazo Majuzi kati nikataka niongeze library...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu, Nimetengeneza hosts file kutoka sources mbalimbali na nitakuwa nai-update mara kwa mara. Pakueni hiyo hosts file kupitia: link: 1Hosts — World's most advanced general-purpose DNS...
9 Reactions
84 Replies
13K Views
Habari za jioni wakali wa tech, Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password. Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja...
0 Reactions
5 Replies
566 Views
Wakuu Happy Good Friday. Nimenunua smart TV na Kama mjuavyo ili tv iwe na clear pictures ni vizuri kuunga HD wire. Lakini Cha ajabu hiyo tv yangu haikubali kupokea huo waya wa HD. Tatizo laweza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha...
0 Reactions
3 Replies
538 Views
Tafadhari shufu kichwa cha habari hapo juu Natafuta Gcam ya Galaxy Note 9 (SM-N960U) Saidia plz
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba msaada kufanya verification of address kwenye Skrill account. Mimi ni mtumiaji wa Skrill, na awali nilikua nafanya miamala vizuri tu bila shida yoyote. Imefikia stage ya kufanya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu...
18 Reactions
62 Replies
6K Views
Habarini wana jukwaa! Bila kupoteza muda,nilitembelea maeneo fulani hapa mjini kwa rafiki yangu nikaona anatumia gesi ya kupikia ambayo ameizalisha kutoka shimo la choo,nilichokiona pale ni...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Back
Top Bottom