Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Najua kuna watu wengi ni wapenzi wa muvi za hollywood na bollywood humu jamvin, pia naelewa kuwa kuna watu wanapenda subtittles ili kuelewa na kufurahia movie...
Habari wanajamvi, msaada wa sorting function wa kuchakata matokeo…Sorting function ambayo itachagua jinsia na rank yake katika matokeo..Msaada tafadhali….Iweze kufanya kazi kwenye Ms Excel 2007 au...
Hapa bongo kumekua na wimbi la refurbished phones hasa upande wa samsung ndio kinara.
Refurbished au recondishioned phones ni simu ambazo either zilikua na matatizo ya hardware au softwares baada...
Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development...
Wadau habarini,napenda kufahamu na kuyajua maduka hapa Dar es salaam yanayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya mtandao kwa bei ya jumla au reja reja
Vifaa hivyo ni kama vile
1. Cisco router & switch...
Yaani unaambiwa wanao apply kwa kutuma proposal ni wengi balaa, project moja unakuta proposal mia mbili nakuendelea kadri muda unavyozidi kwenda.
So swala muda ndo muhimu kuwa active muda wote na...
Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu
nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
Heshima kwenu wana jf,
Hivi system kama ilivyo ubber ama taxfy kuitengeneza inagharibu bei gani?
Natamani specifically iwe kwa bodaboda tu kwa ajili ya mikoani na sehemu za vijijini hili ndo...
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo
Ni programu ambayo...
Habari zenu wakuu, nipo Dodoma, nina dish la continental, decoder ya continental. Ninatumia dish mbili za continental.
1. satelite dish mbili
2. DiSEqC Switch
3. continental decoder...
Salam wakuu,
Kuna jamaa yangu amenijuza kwamba pale D.I.T wanafunga mitungi ya gesi kwenye magari ambayo inakua ni alternative power (fuel) ya gari. Kwamba unaweza ukafunga mitungi ukakimbia hata...
natumia macbook pro intel (R) core(TM) i5 2435 CPU @ 2.40 GHz.
RAM 4GB nime install windows 10.
tatizo linakuja hapa baadhi ya software za 3D zina run slow sometime nashindwa kuelewa tatizo ni...
Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua...
Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata!
Google to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.