Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Pata hosting kwa Tsh 110,000\= tu ,Hii ikiwa na mambo yafuatayo unayapata kama offer 1)1GB mysql space ,40GB bandwidth. 2) Free domain .tz 3) Free SSL Please tucheki WhatsApp 0687 535650
2 Reactions
2 Replies
582 Views
Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain. Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu tajiri zaidi juu ya uso wa Dunia kwa paper assets mzaliwa wa Africa mwenye uraia wa Marekani ametangaza kuwa tayari kuinunua kampuni ya twitter kwa gharama ya $54 kwa kila hisa. Ikumbukwe...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimejiunga clubhouse ,Sasa kwenye group hili nataka kusoma vitabu lakini nikienda kwenye telegram kuna maneno haya Sasa nashindwa kuelewa tatizo liko kwenye simu au mtandao tafadhali wakuu
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua. Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi. Kila nikiweka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa Naomba msaada wa nini cha kuboresha ili kuongeza namba ya CLICKS
0 Reactions
9 Replies
612 Views
Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila nikijaribu inaniambia id yangu haijatumika iTunes . Nkienda iTunes inaganda tu. Ila id n valid na iko active. Msaada wataalam
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jamviii Nimefungua uzi huu kwa wale mafundi na wataalamu wa kutoa FRP kwenye simu zetu za android. Naomba tudiscuss software bora ambazo zinafanya vizuri kwenye kufungua FRP security...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Wakuu habari za humu ndani.. Nahitaji msaada kama kuna njia ya ku_unfriend watu 5000 wa fb kwa pamoja....msaada plz
3 Reactions
18 Replies
4K Views
WAKUU Natumia TECNO WX3 Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Habar za mchana wakuu! kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mwenye link ya whatsapp version mpya naomba msaada tafadhali
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Misaada. Kuna tv ya kichogo (universe) haipulizi kwenye FBT japo moto unaIngia volt 113. Nimebadili Diffection,holizont,na FBT lakini imegoma.naomba ushauri wenu.
0 Reactions
2 Replies
503 Views
Wadau kama swali linavyojieleza hapo juu naomba mwenye uelewa wa hii kitu ashushe nondo.
1 Reactions
15 Replies
840 Views
Commentary: Pamoja na kuwa na potential kubwa, Dar es Salaam haipo. Kuna mahali tunatakiwa kukaa na kurekebisha kama wajasi na kama nchi. Ukiangalia miji iliyopo kuna kitu kwa Bongoland yetu...
4 Reactions
6 Replies
35K Views
Wasalaam Naomba kuuliza ipi app nzuri ya kudownload music kwenye simu Akhsanteni
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Iphone yangu imezima ghafla tu ila nikiweka chaji inaonyesha inapeleka ila nikiwasha haiwaki Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom