Tunapenda mitaa yetu iendeshwe kidijitali.
Hivyo tumejaribu kuleta suluhisho mahususi katika kuboresha huduma za serikali za mitaa nchini, lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo popote...
habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu...
Heshima kwenu wakuu.
Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana...
One of the Way is to Join Windows Insiders which will enable you to upgrade to windows 11 even if your pc does not meet system requirements.
How to Join Windows Insider Programme?
The Windows...
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha tatizo lihusulo king'muzi cha azam
baada ya kukitumia kwa muda wa mwaka mmoja Leo kimekuja na usemi wa (no program), nimefanya kila aina ya utundu lakini...
Naombeni msaada wakuu nikiweka laini za tigo hazisomi intenet.
Simu zenyewe ni galaxy A 71
Na galaxy A 72
Napata shida sana naipenda line yangu ya tigo .inabidi niweke line kwenye simu ingine...
Kuna mjomba angu alikua anasoma Masters of ICT kwa research.Jana ameniambia kwamba proposal yake haipo innovative ( haona mchango mkubwa kwenye jamii) so inatakiwa abadilishe Title na kuanza...
Habari wakuu,naomba kufahamu kama wise wana huduma ya M-PESA hapa Tanzania,pili kama hawana basi napenda kujua card gani inapokea haraka bila kuchelewa.
Nawasilisha wakuu.
Sent from my M2101K7AG...
Najua [emoji3]watu wengi mna tv na Kuna wakati una safisha Tv yako ili kuipendezesha kuwa na muonekano mzuri.
Lakini watu wengi hatutumi njia salama kusafisha Tv [emoji3] wengi wetu tunachukua tu...
By Hannah Murphy in San Francisco
Microsoft said it uncovered attempts by a Russian state-backed hacking group to hack into US and EU government institutions to conduct cyber espionage as part of...
wakuu samahani yeyote anaejua jinsi ya kuremove outgoing caller ID, kuna mtu alichezea cmu yangu ya tecno akabonyeza *31# ikaingia outgoing caller ID nikitaka kupga simu hazitoki
Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu...
Mtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet
Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na...
Kuna mtu au watu Toka wanunue simu hawajawahi kufanya Factory reset hata mara Moja?
Factory reset process, ni kitendo Cha kuweza kufuta Kila kitu Kwenye simu yako kukifanya icho kifaa kiwe kipya...
Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo,
Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa,
Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.