Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hello Tech Members, Hope mpo Good Wazee! Leo tutajifunza moja kati ya Language muhimu sana katika Web development, yaani CSS. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada, REQUIREMENT...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za saizi, Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo? Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile . Msaada
0 Reactions
4 Replies
542 Views
Hapa nashauri developers kwenye program za ATM kwamba. Mfano nikitaka kutoa 1m kwasasa (crdb) lazima nianze na 400k kadi inatoka then naichomeka tena ndio nitoe 400k baada ya hapo kadi inatoka...
22 Reactions
87 Replies
6K Views
simu ya OnePlus 10 Pro imeachiwa sokoni sasa inapatikana madukani kote, fahamu unachohitaji kujua kwenye iyo simu !! Toka January 11 2022 ilianza kuuzwa nchini china ilipofikq tarehe 31 march...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Salam! Ni chimbo gani naweza fundi simu? Smart phone yangu SM Note four imekufa power IC chip yake. So nilihitaji fundi anayeeleweka wa kui replace. Hela ipo sio tatizo. Ninachotaka simu yangu...
2 Reactions
139 Replies
6K Views
Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa wale wataalamu wa technolojia kwani ssd nini na ipi bora kati ya solid state drive na hard disc drive?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Naomba kujua sehemu wanakofundisha masomo ya computer kwa upande wa programming na coding kwa hapa mwanza. Ada ni sh ngapi?? na ni wapi? Binafsi sina msingi wa masomo ya computer...kwa...
0 Reactions
6 Replies
815 Views
Habari zenu waheshimiwa, Nimesikia kuna namna mtu unaweza kum block mtu/watu flan kwenye mitandao ya simu....wasiweze kukupata hewani kama vile ilivyo kwa mtandao wa kijamii wa facebook. Naomba...
1 Reactions
73 Replies
53K Views
Habari wadau, Mm Nina simu kubwa mbili ambazo natumia laini tatu za mitandao tafauti Zazntel,Vodacom na halotel. Laini hizo zote nazitumia kwa matuizi ya internet ambapo Mara nyingi huaga naweka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu msaada, Kwa siku ya tatu sasa kila nikipiga simu mtu akipokea tu huwa inaniletea hayo maneno hapo juu nimejaribu kuangalia kama kuna mtu anafuatilia simu yangu lakini imenionyesha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibu deepseatechnologies, Tunapenda kuwajuulisha watumiaji wa computer manyumbani, mashuleni, maofisini na maeneo yote kuwa tunatoq huduma ya maintainance ya computers(installation, updating...
1 Reactions
1 Replies
586 Views
Habari wakuu! Tv inazungumza but picha zinaonekana kwa mbaaali mpaka umulike kioo na taa?
2 Reactions
12 Replies
811 Views
Nataka kubadili kioo cha simu yangu ya samsung note 20 ultra, mwenye kumfahamu anijulishe
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk Kisha zikatoka upgrade yake...
8 Reactions
60 Replies
11K Views
Msaada kwa mwenye uelewa hizi printer hivi ndo hizi ambazo hazitumii cartridge?? Na vipi kuhusu bei maana kuna mdau kanambia alichukua dar kwa 1.5 million ni kweli bei yake ndo hiyo au uongo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom