Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama kuna kitu kinakera ni matangazo ya kila mara YouTube wakati nitazamapo video. Na pia kinachokera ni hizi clips kama nilivyo screenshot .nawezaje kuondokana na hizi adha za matangazo ya kila...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari Kama sio settings za simu yangu basi ndio hivyo tena jamaa warudi tu shule. Ninapofungua app ya WhatsApp kisha naenda chini pale nabofya nipate majina mbalimbali ya wapendwa zangu majina...
1 Reactions
8 Replies
813 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Tafadhalini sana mwenye link ya whatsapp plus new version naomba anisaidie maana whatsapp yangu imekwisha expire Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Hellow jf,nadhan mpo poa..Ninataka nitengeneze project ikifika mwez wa 12,mara ya kwanza niliunda android school app ambayo ilikuwa inasaidia wanachuo wa chuoni kwetu wakitafuta...
1 Reactions
6 Replies
531 Views
Wakuu habari, Ninaomba kujua Bei ya dukani kwa pc ya lenovo au dell. Pia naomba kujua utofauti wa utendaji kazi wa aina hizi mbili za pc mfano kutunza betri na ubora kwa ujumla. Kimsingi...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari . Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel. Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Spotify imefika ipo kwa Android na iOS I know kwamba apple music nayo ipo available mpaka kwa android, sema kati ya hizi Platforms mbili zote nmetumia ila naona niko inlove na spotify sema mda...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Naomba kufahamishwa maeneo pulic, tulivu na salama ndani ya Dar, ambayo mtu unaweza ukaenda, ukaplug laptop yako na ukafanya kazi zako bila bugudha yoyote. Iwe kucode, kuandika...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamu kwa hapa Dar napata wapi Sound Bars za viwango za kampuni ya JBL. Nimejaribu Mlimani city ila nikakuta wana options chache. Naomba kujua dedicated shop ya sound...
1 Reactions
4 Replies
750 Views
Hii simu ina ubora kweli au ni mafeki ya kichina? TZS 1,377,195.78 34%OFF | Global Rom OnePlus 8T 12GB 256GB Snapdragon 865 5G Smartphone 120Hz AMOLED Fluid Screen 64MP 65W Warp Charge...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama tunavyojua adsense ni mtandao bora wa matangazo katika tovuti/blogu zetu lakini wanavigezo vingi licha ya kuwa unaweza kukubaliwa lakini bado akaunti yako inaweza kuwa katika risk mda wote...
0 Reactions
9 Replies
37K Views
Habari za jioni wana jamvi, natumai hamjambo. Nahitaji msaada wenu, nilinunua PS4 kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini baada ya ku connect na Internet akaunti ime block, baada ya kurudi kwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamishwa bei ya Iphone X kwa sasa. Pia nasikia kwa Zanzibari bei zinakuwa kidogo nafuu naomba pia mwenye kujua nilinganishe. Asanteni
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mafundi wa hizi kazi nisike nikapigwa tena leo nimekuja mapema kuna Samsung A52 RAM 8 na Samsung note 9 ipi simu kali na kwanini??
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Yaani mimi ninajifunza web design sasa nimekutana na app ya github ila sijui matumiz yake ila nasikia ni muhimu kwa maprogrammer naomba mnijuze vyote kuhusu github na nn nahitaji kujifunza kuweza...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Virtual dj inaandika hv directX failed to initialize. Please install the correct driver s for your video card!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellow it's long time sijawa active humu haswa hili jukwaa la tech..baada ya jukwaa kuvurugika sioni nyuzi zimazohusu Cyber security (hacking,other IT stuffs) Siwaoni akina x0z,rootadmin, Mr...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi? Je itakuwa ni disk moja au mengi? Je maximum hard disk ni kiasi gani? Je kwa Bongo yanapatikana?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habar za asubuhi wakuu, kama kicha cha habari hapo juu kinavyojieleza, mara kwa mara nimekuwa nikisoma mabandiko ya watu humu jukwaani yakielezea uzuri na upekee wa simu zilizokuwa rooted na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom