wajameniee, ninayo laptop yangu, nafanyia kazi kila siku, lakini chaajabu karibia wiki moja, key zake haziklick, hivyo nashindwa kuandika. hivi nifanye nini ili key za keyboard ya laptop ifanye...
Hi guys, has it ever got to you that you get connection refused when trying to access irc.jambotanzania.net? I'm kinda stuck outside by this error!!!!
* Connecting to irc.jambotanzania.net (6667)...
I remember it as if it was Yesterday.
It was mid april, well past midnight i was paged simultaneously from some of the Isp's home.
Then called.
-BrainPower, We have intelligence officers and...
Habari wakuu? Ni software ipi ambayo ni free na bora inayoweza kutumika kwenye PC ku-hack line ya simu (SIM card) kwa kutumia smart card reader?
Natanguliza shukrani.
Bila kujua, bwana mdogo alisajili line yake ya Tigo kupata huduma ya Utabiri kutoka 15501. Alichokuwa hafahamu ni kuwa meseji hizo zinapoingia kwenye simu yako zinakula pesa kiasi cha shilingi...
SALAMU ZA TAHADHARI
Ndugu Watanzania
Wiki iliyopita kulikuwa na Taarifa moja kubwa lakini haikupewa mkazo sana navyombo vingi vya kimataifa , inayohusu baadhi ya kampuni za mtandao katika...
Some of these books are probably offline but what the hell...
1
10 minute guide to lotus notes mail 4.5
parsian.net
2
10 minute guide to Microsoft exchange 5.0
parsian.net
3
10 minute guide to...
Jamani ni mimi tuu au ? Hata niki refresh mara ngapi.
Inaelekea connection to the MySQL Database has failed. Somebody is having a bad day today ...:mad:
Hivi karibuni niliingia kwenye Internet café moja na katika kuchukua vitu vichache, nilijikuta pen drive yangu imeingiliwa na virus kwani niliona dhahiri mafaili ambayo mimi binafsi sikuyacreate...
Wandugu nimekumbwa na hili tatizo leo.
Kuna kitu nimefanya which I'm not certain sure ni nini, lakini kwa sasa napata error ifuatayo wakati wa ku-boot computer".
A problem is preventing Windows...
Hallo,
I often use the saved passwords of my Firefox browser to see and sometimes erase the passwords...only everytime I must go to Tools - Options - Safety - saved password.
I was arguing if...
ANGALIZO WATUMIAJI WA CDMA ( MOBILE INTERNET )
Kwa siku za karibuni watu kadhaa wamekuwa wakilalamika kwamba wanapojaribu kujiunga na mtandao inakaa kwa sekunde au dakika chache halafu ina...
"I'm getting ready to upgrade my XP system to Windows 7. I've heard there is something called 'XP Mode' that will allow me to run XP programs. What exactly is XP Mode and which programs will need...
Wandugu naweza kupata wapi data cable ya blackberry kwa hapa Tanzania niliyokuwa nayo niliisahau kwenye mgahawa wa internate na niriporudi kuangalia tena ikawa ni hadithi ya zilipendwa,Blackberry...
Wataalamu na ndugu zangu,naomba mtu yeyote mtumiaji/mwenye laptop hiyo au anayeweza kunisaidia kupata number iliyo kwenye original battery ya laptop hiyo ambayo kwa kawaida huanza na CN...
Hii wadau imekaa vipi?
Nokia is currently working on a new way of recharging handsets of tommorow by harvesting electrical current from ambient electormagnetic radiation that are emitted from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.