Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

I'm in need of affordable netbook. If somebody know were to buy one in Tanzania please inform me. I searched one in the internet which is ASUS eee pc S101 which seem to please me. It uses DC 12V...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Please wadau nilikuwa naomba extension ya 3D analyst for ArcView GIS kama kuna mtu mwana JF anayo. Regards
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni nimenunua MacBook baada ya kuwa mtumiaji wa PC kwa muda mrefu. Pia nimenunua Western Digital external hard drive bila kujua ilikuwa formatted for Mac. Naomba msaada wa kujua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Windows Software ya D/Top yangu (Dell) haijakuwa Updated kwa hiyo imeniandikia message kwenye screen chini kulia kuwa 'You may be a Victim of Software Counterfeinting. This Copy of Windows Did Not...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Wakuu heshima mbele, Kwa wale wana-intelligensia ya software naomba kwa hisani yenu mni-link na Microsoft Visual Studio Developer au similar software kwa ajili ya kutengeza executables kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Please wana jamii send windows vista at least ya mwezi mmoja kwani laptop yangu imecorrupt nimeweka Windows XP matokeo yake haipati hard drive yoyote lakini iko recommended only for windows vista...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele!mimi ni mtumiaji mzur sana wa MSN messenger kwa kuwasiliana na wadau mbalimbali si unajua tena kupiga simu bongo ni gharama sana!ila kwa sasa imenigomea kabisa niki sign in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
You might find your Windows Task Manager is disabled and when you try to open Task Manager, the following error may occur: Task Manager has been disabled by your administrator This error is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi wakuu, my desktop computer is infected na some sort of malware/virus na inatuma email kwa adrress book nzima iliyoko kwenye yahoo. Mbaya zaidi nikufungua adress book inaniambia my adress book...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
see attachment for more information
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A Cisco CCVP certification proves that the professional is having a deep understanding of the implementation, configuration and troubleshooting of a converged IP network. The Cisco CCVP training...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna site yoyote ninayoweza kudowload freed video games online kwa ajili ya kutumia kwenye Xbox 360?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zanguni siku hizi hapa Tanzania kuna wajasiriamali wanauza simu mtumba kutoka juu kwa bei poa hapa Dar,kwa kawaida hizo simu ikiwa mpya bei yake ni kubwa sana ,kwa watu kama sisi akina pangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kutafisri Firefox kwa miezi minne, niliamua kujikumbusha PHP kidogo. Kwa hiyo mwisho wa wiki huu likaipeka tovuti ya tzLUG shopping na kupiga pasi baadhi ya kurasa. Kurasa nilizifanyia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
heshima zenu wakuu, naomba msaada wa data recovery software, ninazo pata kwenye net ni demo tu hivyo zina kulimit kupata full optios na zingine hazikuruhusu kucopy recovered data. please kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
295 Views
Hivi hii program unaweza kupiga simu bure kupitia internate au zipo programu zinazokuwezesha kutumia internate line na kupiga simu za nje kwa dezo ? Nazisaka sana ila sijafanikiwa nilielekezwa hii...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau nimerudi tena nategemea naweza kupata jibu lingine zuri kutokana na maelezo ambayo nitayapata kutoka kweu...So ni kwamba baada ya kupata hili tatizo ambalo laptop yangu huwa ina matatizo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MegaPyne
Skype has recently unveiled the new version of its world famous VoIP software used by more than 300 million users across the globe. Skype 4.0 features a complete new interface with lots of new...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, heshima mbele, Ninaomba msaada wa computer program inaitwa Prevx 3.0. Shukrani mbele!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom