Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je
- Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes?
-Kama...
Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa...
Wakuu,
Nimekuwa nikipata shida sana kila napo download video Telegram hasa napo tumiwa move yenye Mb kuanzia 300mb.Ninapo Download huwa inaenda slow sanaa. Na Tena ninapo toka ktk Download window...
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na...
Ukweli Kuhusu Matangazo Ya Kulipia!( Sponsored ads)
Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni.
Kitendo Cha kutojua...
jana ilidownload mpaka 100 asilimia kufika hapo ikaganda tu
leo ndio imekaa tu 0 asilimia wala haisogei
naomba msaada maana hata bluestacks emulator imegoma kufunguka nahisi tatizo ni hili na...
Habarini jamani naomba kujuzwa kama kunakuwepo na matumizi ya time tracker Katika kazi za fixed price huko upwork na freelancer.com.
Napia ningependa kujuzwa kuwa kazi za freelancer.com ambazo ni...
Wakuu salama?
Jana usiku nilikua natumia pc kwenye xcell sasa nikaifunga bila kuizima kwa muda ndo jadi yangu. Baada ya dk20 nikaifungua niendelee nakazi nikakuta imestuck, ikabd niiforce kuizima...
Habari wakuu?
Heri ya mwaka mpya.
Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze...
Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu...
Naomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
Kipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho...
Habari wana Jamii forum,
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye Networking hasa ambaye ameshafanya kazi au project ya ISP kwa hapa Tanzania, kuna mradi...
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu,poleni na hongereni kwa kazi za kujitafutia ridhiki za kila siku.
Nipo hapa leo kuomba msaada kwenu kama mada nilivyoitambulisha hapo juu.
Laptop yangu...
Habari wadau wa humu jukwaani.
Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery...
Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.