Niliona mitandaoni hii redio kampuni ya aborder nataka kufahamu kwa wajuzi je redio hizi zinadumu na vp kuhusu quality ya mziki wake
nimeona wanauza 120K
Hope mnaendelea vizuri na majukumu.
Nilisahau simu sehemu kama dakika 5 tu kurudi haipo, naipiga Inaita tu but after 1 hour haiku patikana tena.
Niliripoti Polisi Ili Iweze kuwa tracked maana...
BLACKVIEW TABLETS
Wakuu naomba kwa anaefahamu hizi tablets za blackview hasa blacview tab 9. hapa namaanisha ubora wake, durability yaan uimara, touch yake kama inadumu na mambo mengine.
Kama una computer ambayo ukiiwasha inawaka bila kuonesh kitu kwenye screen, tafadhali fuatilia kwa makini maelzo haya ambayo yanaweza kurudisha computer yako katika hali yake ya kawaida.
Kwanza...
Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya ambayo itakuwa inatumika katika simu kali za bei nafuu ili kushindana na soko la Qualcomm. MediaTek inafahamika sana kwa kutengeneza processor za simu za bei...
Features
Our 7th gen Qualcomm® AI Engine includes:
2x larger shared memory plus a 2x faster tensor accelerator
3rd Gen Qualcomm® Sensing Hub, featuring a Low Power AI System and the world’s...
Habari
Wajuzi wa mambo ya tech, mnisaidie. Mwezi uliopita nimeenda dukani kununua samsung a22 5g baada ya kuijaribu kwa siku mbili nikaona iko sawa ila kuna baadhi ya features kama auto call...
1. Nasalmia.
2. Naomba kufahamishwa kama inawezekana kuzuia matangazo yanayotokea kabla ya kuplay video kule YouTube, na kama inawezekana ni kwa namna gani?
3. Shukrani na wakati mwema.
Salamu,
Wakuu naomba kujua namna ya kupata templates au layout ya android app kwa ajili ya Blog yangu. Template au layout ninayoitafuta ni Ile iliyotumika kwenye app ya Mpekuzi, DJ mwanga n.k...
Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku...
Habari 👋🏾
Nimekuwa nikikutana na vitu viwili toka kampuni ya Azam ambavyo ni AzamPay na AzamPesa kupitia mitandao na mifumo ya kidijitali, ningependa kufahamu ni nini, na shughuli yake kubwa ni ipi.
Ni bank gani hapa Tz
Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees).
Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata...
HABAR WADAU
Mambo ni mengi mda ni mchache ni ngumu kwa binadamu mmoja kupata taarifa zote so usishangae kuna offer tamu sana yenye discount ya kutisha ikakupitia hvhv ndio mana nimefungua uzi...
majuzi kati nmeona ndugu yangu anapata offer zenye GB za kutosha za halotel sinikakurupuka kwenda kusajili lain ya halotel kwa ajili ya matumiz ya PC na sipendi kushare MB via smartphone nikaweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.