Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu poleni na majukumu, Naombeni msaada kwa yoyote anayeweza kufanya ishu zote za game Kama game installation game chipping na mengineyo nahitaji mafunzo anicheki tuone tunayajenga vp
0 Reactions
3 Replies
594 Views
Habari wana jf, Samahani naweza kupata msaada ni kivipi naweza ku-download apps zinazo patikana play store ambazo hazipo kwenye App store tafadhari, naomba kuwasilisha
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello.. nina hitaji ps4 used,mwenye ako nayo au kuuza nicheki kwa 0622902768 mhusika awe mwanza..nipo mwanza pia.
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Habari za weekend wakuu... Juzi kati nilikumbwa na tatizo la virus kweny home desktop, ni malware ambao wanaencrypt files na hizo files to be inaccessible mpaka pale utakapo lipa kiasi fulan cha...
0 Reactions
4 Replies
590 Views
Habarin wakuu naomba kujua juu ya hii simu ubora wake na bei yake kwa hapa tz natanguliza xhukuran[emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam wakuu, Mimi ni mpenzi sana wa FPS games zenye multiplayer option (online). Nimecheka games nyingi tu, Sasa kitambo nilisikia hii PUBG watu wengi wanaizungumzia. Ni game ambayo ipo almost...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina 500k mfuko wa shati hapa, naomba kufahamu ni simu gani nzuri ninaweza kupata Kati ya Hizo brand mbili. XIAOMI na SAMSUNG NOTE; yenye uwezo mkubwa wa kukaa na chaji ( Betri capacity kubwa)
1 Reactions
8 Replies
1K Views
How to Protect Yourself from Online Shopping Security Threats Here are easy actions which will reduce your risks during online shopping. ☑️ Update Your Browser and OS. These updates protect...
2 Reactions
3 Replies
783 Views
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Wiki hii WhatsApp inaweka uwezo wa kuchagua mfumo wa Disappearing Messages katika chats zote mpya. Disappearing Messages ni option ya kuamua chats zifutike baada ya masaa 24, Siku 7 au Siku 90...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Ni wiki ya tatu sasa mafundi wa Tanesco wanahangaika na mita yangu ya three phase aina ya inhemeter lakini patupu. Mwenye solution tafadhali
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wana JF? Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi Ahsante!🙏
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nina komputa ya HP (desktop) inasumbua kuapdate tarehe na saa , lakini ukiiunganisha ni intaneti hua inajiapdate bila ya hivyo unatakiwa kila unapoiwasha uirekebishe mwenyewe. Naombeni msaada wa...
2 Reactions
8 Replies
801 Views
Habari zenu! Naomba kujua nawekaje hela kwenye akaunti yangu ya Paypal kwa kutumia M-Pesa Mastercard na kuna makato yoyote? Nimelink Mastercard yangu ya mpesa kwenye akaunti yangu ya paypal...
2 Reactions
59 Replies
16K Views
Habari bandugu, naomba kujua wapi naweza pata simu ya samsung brand new kwa dar es salaam bei iwe kuanzia 800k mpaka 900k. naomba na ushauri pia nichukue model ipi kutokana na bei tajwa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada ni NJIA ipi Kati ya hizo naweza tumia kwa ajili wa kuweka na kutoka pesa ikaja kwenye account ya benk au mtandao wowote wa simu tanzani
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Ni kampuni ipi inayouza gesi ya kiwango kizuri cha ubora kati ya Oryx, Mihani, Taifa, Manjis n.k?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mahangaiko wandugu Moja kwa moja kwenye mada nikwamba nilidownload app ya Bible and dictionary to playstore lakini nashangaa haionekani nikifungua menyu, ila kama nataka kumlushia mtu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa yule anaejua kuchora vibonzo kwenye simu anielekeze na Mimi nitumie app gani nichore.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zishapita Smartphone zaidi ya Kumi, lakini haka kajamaa bado kanaishi. Wangapi bado tuna hivi hizi mashine?
2 Reactions
15 Replies
960 Views
Back
Top Bottom