Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Brand yeyote HP,ASUS,APPLE MAC, TOSHIBALENOVO&DELL VIGEZO RAM 16 SSD 512 SPEED 2.5 TO 4.5 RESOLUTION 1980×1080 SLIM PORT C Battery life iwe poa Generation 10th Yenye graphic card Inayoweza...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Msaada kwa anayejua namna ya ku calculate unlock code kwa kutumia imei namba CHIEF MKWAWA kcamp Njunwa wa mavoko agudev Castr
0 Reactions
41 Replies
18K Views
Habari za mida hii wakuu?.... Kama jina la thread linavyojieleza hapo juu, ningependa moja kwa moja niende kwenye mada husika hasa iliyopelekea hadi mimi kuanzisha hii thread. Nina mdogo wangu...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu naombeni kujua tofaut kati ya copy iphone na clone ya iphone Najua kuna.copy nyingi za iphone ila kuna copy za iphone ambazo zinakua ni android tu yaan ikiwaka na mfumo ni android Na kuna...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari Wakuu, Nimekuwa na Shida Ya Kupata OTP number Kutoka Bank kuja kwenye Sim Card Yangu ya Tigo, Ninatumia Tigo nikiwa Nje ya Tanzania Baada Ya Kufanya ROAMING, Lakini Nakuwa napata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kadri ya siku zinavyosonga mbele , tekinologia kukuwa zaidi , kuja kwa programu nyingi na mbalimbali za kutumia katika kompyuta na hata vitu vingine vinavyounganishwa na kompyuta ndio matishio...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Research reveals that prolonged use of Covid masks, homemade or N95, can cause anywhere from five percent on up to 20 percent loss of oxygen, leading to hypercapnia (excessive carbon dioxide in...
1 Reactions
8 Replies
884 Views
Simu ni Samsung tatizo lake ikiwa mkoani kwenye baridi inazima ikirudi dar inafanya kazi vizuri tu. Ikiwekwa charge inawaka na inaendelea kupiga kazi ila ikienda mikoa yenye baridi inazima simu...
2 Reactions
9 Replies
804 Views
Nawasilimu kwajina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Husiken na kichwa cha habari hapo juu, navutiwa sana na kuvaa saa janja au smart watch ila nashindwa kutokana na uelewa wangu mdogo juu ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za mda huu.. natumaini wote wazima Kampuni la magari yanayojiendesha marekani(Automatic vehicles) NURO ambalo lilianjishwa California mwaka 2016 limepiga hatua katika kutengeneza...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
natanguliza shukran wadau. Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa. So kuna app gani naweza ku'install...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet. Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
my tecno Comin CX its power on and off itself frequently I tried to remove swich also not reach in hard resetting mode I need help
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Je Kuna uwezekano wa kui change Tecno pop 4 kuwa na network ya 4g?
1 Reactions
12 Replies
977 Views
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet. Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
TV yangu inawaka vizuri tu na king'amzi kinawaka fleshi. Tatizo kingamzi hakisomi kwenye TV nimebadili waya wapi, kingamzi nimejaribu TV nyingine kinasoma. Akiri imestuk, naomba msaada
2 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wana JF Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo
0 Reactions
83 Replies
19K Views
Msaada wakuu simu tajwa hapo juu nashindwa ku install social network kama WhatsApp, YouTube Kama mnavyo jua simu za China mitandao ya kijamii baadhi ilipigwa burn so naomba mwenye uelewa niweze...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Back
Top Bottom