Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote?
Habari za wakati huu waungwana.
Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika.
Ninaomba kujua jinsi ya kuzipata Post Code na kuzijaza kwenye field mbalimbali ambazo zinahitajika..
Kwa case...
Wakuu salaam
Nina pc yangu Hp probook, nilikuwa nafanya kazi fresh baadae naiweka chaja Windows inagoma kufunguka inaleta hii notification.
Msaada tafadhali.
Guys habari za sasa! naomba mnisaidie, ukiacha ile faida ya kua bank inapata zile deposits, ni faida gani nyingine bank ya NCBA inafaidika kutokana na ushirika wake na M-Pawa?
Nahitaji kuanza biashara ya mavazi lakini kama mnavyojua biashara now inahitaji kuwa na picha nzuri zenye quality kwa ajili ya kuipromote biashara mtandaoni
Wataalam nishaurini kati ya google...
Kulingana na bajeti niliyonayo wenye uelewa na uzoefu kuhusu hii soundbar kwenye bass Kwa ujumla mziki wake naombenii mtiririke na Kama kuna uwezekano WA kupata nyinginee.
Wakuu,, nimepoteza Earbug ambayo inatumika kuhifadhi na kuchajia earphone zake na sasa nimebakiwa na earphones tu ambazo nashindwa hata namna ya kuchaji. Naomba msaada wapi naweza kupata hyo...
Wakuu,
Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe.
Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe...
Habari zenu wakuu naombeni Masada jinsi ya kui nstall Netflix kwenye simu yangu Aina ya Red mi 7 maana kila navyojaribu inatokea ujumbe your device isn't compatible with this version
Teknolojia ya Uber ni moja ya teknolojia inayoonekana kufanya vizuri Sana duniani kwa Sasa, teknolojia hii imeondoa changamoto ya usafiri miongoni mwa abiria pia imeondoa changamoto ya kupata...
Makampuni mengi yanayo tengeneza simu yamejitahidi sana kubolesha simu zao ila wapo taratibu sana kwenye swala la kuboresha mabetri kwamba betri liweze kudumu angalau hata miaka minne bila kuleta...
Habari za mda huu.
nIngependa kushare nanyi baadhi ya tips unazoweza ukazitumia kuifanya Whatsapp Yako ionekane vizurii na yenye mvutoo
mbinu ya kwanza
1.Font style.ni namna maneno unayotype...
Hello guys, hope u have had a great time so far!
Guys mie naomba mnisaidie ninahitaji anaeweza kuniunganisha na mtu au kampuni ambao wako very competent kwenye programming.
Ninahitaji...
Laptop yangu inatatizo la charging system haipokei chaji, nimepeleka kwa fundi anarekebisha ila baada ya muda tatizo linarejea tena.
Naomba msaada wenu kama kunafundi mzuri anisaidie.
Asante
Habari zenu ndugu zangu Nina PC Aina ya HP niliiweka kwenye Chaji Usiku Sasa asubuhi nimeamka naona Haiwaki kabisa, vilevile Button ya Kuwashia PC naona imekuwa inatoa ka MWANGA hafifu nimejaribu...
Wakuu habar.
Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo.
Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku.
Mwenye kujua Kwa...
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.
So wanajukwa naomba kueleweshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.