Msaada mwenye kijua kama kuna app inayowezesha kuchora rangi kwenye simu
Zamani nilikua natumia Samsang yenyewe ilikua ina sehemu ya kuchora
nazungumzia hichi[emoji116]
Yuda exalioth...
Habari Wakuu naombeni ushauri,
Nina ka Friji kangu kadogo tatizo nikiweka vitu havipati ubaridi kabisa ila ile sijui evaporator pale juu inakuwa na ubarid saa nying hadi panaganda vibarafu vidogo...
wanajamvi habari za jioni kwq yyte anayeuza au kujua nitapata wap projector hizo anifahamishe au atoe kontact zak tuwasiliane ninazihitaji zile hata kwenye mwanga unaona vizuri
Simu yangu inaniletea charge warning kila nikiwa naichaji
Nimachange charger system Ila bado inanisumbua
Ni Azumi V5+ ya voda naambiwa mpaka charger ya Azumi ipatikane ndo itaacha kusumbua...
WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows...
Mpangilio wa nyimbo katika Album ya msanii ni ubunifu ambao unapaswa kuonekana. Wasanii wengi wanapangilia nyimbo katika Album zao kwa mpangilio maalum; na wanapendelea kuona wasikilizaji...
"There was an error. Please try again."
Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye...
"Tech & Gadgets" linavyopoteza Thread zenye Mvuto na Kuwa jukwaa la Misaada 2015
N:B Ain't joined here long ago, but atleast i know then and now.
Siku zinavyozidi songa mbele jukwaa letu pendwa...
Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo, kinacholenga kutuma na kupokea MobileCoin kama mfumo wa malipo ya faragha.
Na ingizo la Signal Boost kama njia ya kuichangia...
Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa...
Nawasalimu ndugu zangu.
Nilinunua TV aina ya Boss lakini sasa imenichosha, kila siku inaungua taa.
Nataka sasa kununua ya kampuni moja wapo kati ya Samsung, Sony au TCL.
Sasa je kuna TV...
Habari wadau, naamini mko poa.
Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza...
Habari zenu wananzengo hususani wa Jamii Forum!Mimi ni mojawapo ya watu ambao wana uelewa hafifu wa mambo ya simu hasahasa mambo ya KAMERA.
Jamani Nina mpango wa kununua simu moja wapo Kati ya...
Samahani ndugu zangu na poleni na majukumu, leo kulikuwa kuna mada kati ya simu za One Plus na Samsung kuna mdau mmoja amesema kwa sasa hivi samsung haingizi mguu kwa oneplus, vigezo vilikuwa...
Apple inaacha kutengeneza iPhone mini na katika iPhone 14; haitatengeneza iPhone mini size ya inch 5.4.
iPhone 14 zitakuwa na size ya 6.1 inch (size ya iPhone ya kawaida na iPhone Pro ndogo) na...
Finally, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza.
Feature hii ilikuwa...
Sina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa
Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize
Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona...
Nipo kwenye group la members wasiopungua 200 nimesave namba za members wa3 cha ajabu msg za members wengine sizioni isipokuwa za hao wa3 tu tatizo nn wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.