Kampuni ya kutengeneza injini za anga na magari ya Uingereza Rolls-Royce imesema imeunda ndege yenye kasi zaidi duniani inayotumia umeme badala ya mafuta na imepewa jina la Spirit of Innovation...
Habari,poleni na majukumu
nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita,ktokana na ukata wa pesa ukanfanya kukumbuka simu nlikuwa nmeiweka ndani tecno pop 2f ilovunjika kioo siku za nyuma(kioo...
Mtandao wa Bloomberg umeripoti kwamba Gari la umeme linalotengenezwa na kampuni maarufu ya Apple ambayo pia inatengeneza vifaa mbalimbali kama simu za mkononi na computer, litazinduliwa mwaka...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa...
Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya...
Habari wadau nadhani bado wengi hamjanielewa apo naomba nielezee kwa utulivu ili nipate msaada maana nimegoogle nimeshindwa.
Ipo hivi imagine kuna watu wengi wanafanya application sehemu kwa...
Habari wakubwa,!? Ninaomba ushauri juu ya aina ya laptop brand ya HP au Dell yenye specification zozote nitakayoweza kuitumia kwa matumiz ya games na program za kihandisi.
Game (euro track, na...
Habari wadau mdogo wenu bado napigika na mambo ya coding mdogo mdogo hope tutafika tu niliwahi kuwaeleza ndugu na wadau humu ili uweze kujua coding haraka ni lazima ujua kusoma code za watu na...
December mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa tangu Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat.
Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads...
Wakuu nimeambiwa unaweza tumia antena tu kupata channels je ni kweli?
Vipi kunahitajika ujuzi wowote wa kuinstall na kupata hizo channels.
Na kama zinapatikana ni channels zipi na hizo antenna...
Habawa JF natafuta Mtaalamu wa kuweza Kunitengenezea Wordpress Themes Pamoja na Mobile Payment System Kwani Nina Site Yangu Ambayo nataka Niifanye Kuwa Ili mtu Ajiunge ni lazima alipie kwanza Ada...
Habari zenu wadau, naomba kujuzwa ni mfumo upi kati ya hiyo mifumo hapo chini unatumika katika Bank za Tanzania?
1⃣ Swift MT104 GPI
2⃣ Swift GPI MT103 direct cash transfer
3⃣ Swift GPI with...
Asalam aleykum, heri na iwe kwako.
Naomba kuelekezwa settings za Azamtv decorder zinavyotakiwa kuwa pamoja na TV (flat Samsung led tv).
Nyaya zote zimechomekwa sehemu husika ila dish...
Wakuu kwema?
Kutokana na kibarua changu nakua nasafiri sana na hii inanifanya nakua nasikiliza sana muziki safarini kwa kutumia earphone au headphones au wakati nafanya jogging kila asubuhi kiasi...
Hili tatizo limeanza majuzi tu
Sabufa langu main speaker inanguruma
Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?
Je, tatizo ninini?
Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra...
Hii ni kwa makabwela ambao tunaona hatari kumpa mtu 35k ili atufanyie wall mount ya tv zetu tumia concrete nail kugongelea bracket ambayo unataka kutundikia tv yako ukutani hii misumari ya...
polen kwa majukumu nilikuwa naomba kwa anaejua anielekeze ni vp nitapata app ya good lock kwenye samsung niko Tanzania...Hii app inapatikana kwenye baadh ya nchi.
Mwenye kujua naweza vip ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.