Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za humu: Nina simu ya tecno y4 imepata tatizo la invalid imei number yaani sipigi wala kutuma sms isipokuwa ku surf internet tu. msaada tafadhali. Smart guy
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada. Nina laptop yangu yenye specification zifuatazo: 1. RAM 8GB 2. HDD 500 3. processor 2.3 Ghz Hp core i3 Intel. Tatizo iko slow kwenye internet na kufunguka. Naombeni msaada...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
kama kichwa kinavyosema binafsi naamini JF ina watu wenye maujuzi yao, embu tupeane ABC ya njia mmbadala zenye unafuu baada ya serikali ya wanyonge kunyonga wanyonge wao kwa bei zisizovumilika za...
7 Reactions
93 Replies
16K Views
Wakuu habar za majukum Kwa wale ambao wanauzoefu wa kutuma document ambazo zimescaniwa. Naomba kufahamishwa kama mihuri na saini(signature) katika document ambayo naituma kwa njia ya ku scan,mtu...
0 Reactions
4 Replies
916 Views
Natafuta good programmer ili awe mwalimu wangu, nipo MOROGORO MJINI. Tuwasiliane
0 Reactions
3 Replies
484 Views
Habarini za usiku wana jf, Nimekuwa nikikutania na changamoto mara nyingi sana kuhusiana na jinsi ya ku turn on wifi connection kwenye kompyuta nyingi aidha iwe ya window 10 au 7 professional...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Nahitaji msaada wa kubadilisha window 7 kwenda window 10, nimejaribu kutumia cd imekataa na hata flash hata baada ya kuifanyia bootable. Ujumbe ninaoupata ni kama picha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi. Device ni Samsung A12 Natanguliza...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau Simu yangu leo kila nikiweka kwenye chaji inakuja maelezo haya the connected device is not supported simu ni Samsung A 12 hili ni tatizo la pili tatizo la kwanza karibu wiki ya pili hii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano ya Tanzania ni matumain yangu wote mpo salama kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Kwa yeyote anayefaham Apps kali ya ku edit picha naomba...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Nikipiga simu naambiwa "check operator service". Hivyo siwezi kupiga simu. Naomba msaada katika hilo.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari developers, nimekuwa nijiuliza kwann sisi madevelopers wa TZ tusi organise tukafanya kitu kama wenzetu wazungu hao wapo chini. Tunaweza kufanya kituo ambacho kinaweza kutoa mahali tulipo...
8 Reactions
94 Replies
9K Views
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI. njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu. lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha...
69 Reactions
592 Replies
170K Views
Community ya Python ipo vizuri sana katika kushare detailed resources and kusaidia beginners kujifunza lugha hii,Kuna resource nyingi sana ambazo ziweza kuwa ni vigumu kupatikana kwa...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Salam wakuu, Kama swali kinavyojieleza hapo juu, nimeshindwa kugrasp kabisa hii concept ya 3d houses. Jinsi gani wanaziprint naaterials gani zinatumika, na je ubora wake kulinganisha na nyumba za...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ? Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari. But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa namna gani naweza ku connect iPhone na Windows ili nipate docoment files kwa ajili ya ku print Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina matumizi nayo naigawa kwa 650k.tu
0 Reactions
2 Replies
602 Views
Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
3 Reactions
15 Replies
3K Views
utajuaje kama una ugonjwa wa kupenda sana simu unajua simu inafanya mambo mengi katika ulimwengu huu wa Dunia kwani uweza kutupa taarifa za duniani kwa urahisi sana pia simu utusaidia sana kuweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom