Kumekuwa na uzushi ambao ukiachwa kwa muda mrefu basi ndio utaonekana ukweli.
kwa namna moja au nyingine mti wenye matunda hupigwa mawe mengi na ndio hiki kinachowatokea wasanii wanaopta youtube...
Wakuu salama.
Naomba kuuliza tatizo ni nini na sim card ya Tigo watu wanalalamika toka asbh wanapiga sipatikan lakin simu ipo on kwanini sipatikani?
Sijawahi fanya setting zozote kwenye simu...
Facebook itafuta alama za Sura (Faceprint) za Watu zaidi ya Bilioni moja baada ya kutangaza kuwa itaacha kutumia mfumo wake wa utambuzi wa Sura (Facial Recognition).
Kumekuwa na shinikizo la...
Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps...
Yatambue mambo kumi ambayo unaweza kufanya na Dawa ya mswaki tofauti na kupiga mswaki tuu.
hii itakupa msaada na tips za usafi hapo home, ofisin au shuleni
Nimedownload App ya startimes kwaajili ya kuangalia bongo star search kwa baada mbaya situmii king’amuzi cha startimes
Mtu anayetumia king’amuzi naomba unichek DM kuna kitu nataka anaisaidie
Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini?
Kuna saa kanatokea...
Ndugu nlkuwa naomba tofauti kati ya memory na storage.
Halafu kwa nn App moja kwenye RAM na storage ya simu moja inakuwa na MB tofauti.
Natanguliza shukran wakuu
Habari wadau
Hivi nifanye nini ili niweze kuandika kisahili vzr katika Microsoft Office application km ms word nakadhalika ukidownloadi Kiswahili languange pack na ukiiweka humo bado maneno mengi...
Naomba msaada kwa anayejua kuzitambua memory na flash original na fake!
Pia naomba msaada kama unajua sehemu gan zinauzwa kwa Dar au Mbeya.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee,habari
Naombeni mnipe msaada wakunisaidia kutengeneza system ya shule kwani nimepewa assignment chuo nakazi inakuwa ngumu sasa. Ni simple Databese tu ndiyo inayotakiwa.
kama mtakuwa nayo...
Habari za muda. Wakuu naombeni msaada kwa yoyote mwenye PDF ya kitabu cha hiki cha (THE MINISTER'S DAUGHTER AND BEGWANI THE BEGGAR) kwa maana nimekitafuta sana bila mafanikio.
Naimani ujio wangu...
Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina.
Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta.
Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu...
Habari wakuu...
Kama tulivyokubaliana ni mwendo wa kusajili laini za TTCl tuamshe hii kampuni yetu ..imelala sana na meneja wa masoko kwenye hii kampuni cjui wanakwama wapi kumtumbua??
Enenwei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.