Hello naomben nipate maujuz ya kuactivate IDM kwenye PC bila kuilipia au kama kuna application nyingne za kuongeza speed ya kudownload file na videos kwenye pc ukiachana na IDM naombeni pia.
Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh.
Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer...
Jamani naomben msaada nina shida na hiki kisimu changu itel 2173, nilivyokinunua nilidhani ningepata wepesi kwenye upande wa meseji kumbe mambo ndivyo sivyo.
Nikienda kwenye meseji input method...
Bendera za baadaye za Samsung zinaweza kuunganisha familia za S na Note
Chris Hall, Mhariri · 24 Agosti 2020 · Habari
POCKET-LINT
FacebookTwitterPintrestLinkedInMail
Kwa nini unaweza kuamini...
Habarini nyote, kama mnavyofahamu Battle royal games zimekuwa popular na kukimbiza kwa kuingiza earnings almost everyday.
Ningependa kujua kati za hizi games Battle royal lipi ambalo unacheza...
Wakubwa wazo nalo liona bora kuukuza mtandao wetu huu pendwa na kuwa ndo mtandao mkubwa na wenye Gharama nafuu sanaa.
Kwakuwa utahudumiwa na Serikali kisha na mwananchi atachangia kwa unafuu wa...
Habar mafundi,
Samahan nimepata tatizo mtoto kuchezea passcode na baadaye simu kujifunga na ujumbe kujitokeza iphone disabled.
Nimejaribu ku restore ila imeniomba apple id na password na katika...
Game yangu ya call of duty 4 inaniandikia punkrank disabled natatuajee....??
Pia nina Game ya PS 21 jinsi ya ku install imenishinda
Nahitaji msaada.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums...
Rejea mada tajwa apo juu, haswa play station (PS). Nauliza upatikanaji wa PS (3,4au5) zinapatikana kwenye maduka gani ukuwa Arusha au Tanznia kwa ujumla na beii zake zikoje.
Wakuu habarini za muda. Pc yangu ina shida naombeni msaada.
Ni brand ya Toshiba satellite nilipewa na sstr tangu 2015 ambapo kabla ya hapo alikuwa anaitumia akiwa masomoni. Ilianza kuleta...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,
Kwa wale wataalam wa smart watch naomba mnijuze hapa, hivi hizi saa huwa hazi display muda kwenye display yake hapa mpaka ubonyeze batan...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza[emoji115][emoji115], nini shida? Facebook lite haifinguki nikitumia WiFi, ila kwa MB za kawaida inafunguka bila shida yoyote, wajuzi njoeni!
Sent from my TECNO...
kwa yeyote anaejua kifaa kinachoweza kupandisha network,kwa mfano upo eneo ambapo mtandao ni EDGE pekee uweze kupandisha hadi 3g au 4g,naomba mnisaidie jina la kifaa kama kipo na upatikanaji wake
Windows 8.1 pro,nikienda huko kwenye setting inataka niweke NEW PRODUCT KEY sasa mimi sina hizo new product key,nazipataje na je ikifikia tarehe ya ku expire sitapoteza vitu vya humu kwenye hii...
The 5 Best Free Website Builders
Wix – Best for most.
Weebly – Best free website builder for small business owners.
WordPress – Best free website builder for blogging.
Strikingly – Best free...
Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama
Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.