Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Bila shaka mtakuwa mmesalimika nyote ma bibi na mabwana husiken na kichwa cha habar hapo juu. Kwa yeyote anayefaham apps nzurambayo kama...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu Kwema. Youtube ndio Application Namba Moja ya kustream na kuwatch Music bila Shida yoyote, Naomba Msaada Wa Kujua Namna Ya Kuangalia Video Youtube Huku Nikiendelea Kufanya Vitu vingine...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Binafsi natumia MB 600 hadi 1.5 GB kwa mwezi kuna kipindi hata mwezi hauishi nimesha maliza had GB 2. Njia gani nitumie nipunguze matumizi ya bando? Na wewe unatumia kiasi gani cha bando kwa...
2 Reactions
211 Replies
24K Views
Kujua aplikesheni zinazotumia zaidi data. Nenda sehemu ya settings(Mipangilio) Kisha bonyeza kitufe cha Network & internet/connections(mtandao na miunganisho) Kisha bonyeza Data Usage(Matumizi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau cm yenyewe ni tecno m3 imeanza tatizo hilo baada ya kuflashiwa coz ilipatwa na tatizo la bootloop, nimejaribu kuinstall custom rom nilioyoipata toka site moja ya nigeria [keslar rom] ina...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wanajamvi kuna kipindi niliona thread ya code za kuweka kwenye simu ili usipatikane kwa muda,naomba mwenye kuzijuwa hizo code au aniunganishe kwenye thread husika.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Sambamba na huyo mtaalamu ambaye nataka atengeneze Jalada lenye mvuto nahitaji kujua kama unaweza kukitengeneza kitabu kupitia Microsoft Word pekee au ni lazima kiwekwe kwenye page make,r ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu, Ni sehemu gani salama zaidi ya kuhifadhi nyaraka mbalimbali kama vile picha na document katika simu? Usalama ninaozungumzia hapa sio kuficha mtu asione ila ni sehemu ambapo hata ikitokea...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wadau, Naombeni msaada katika simu yangu hii ya INFINIX HOT8 LITE katika vitu hivi. 1.Ukifungua katika contacts hakuna namba zozote zilizopo na nikitoa line katika simu hii na kuweka...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Msaada wakuu je unaweza kucheza efootbal2021 kwenye simu yenye ram 2gb
0 Reactions
0 Replies
289 Views
For Americans concerned about their privacy, the NSA data grabs are daunting, but what about the data grabs happening inside your own home, perpetrated not by the government, but by your coffee...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wakuu, Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuzi wa haya mambo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari natumai mu wazima ila nilikua na swali ambalo ningependa kupata ufafanuzi wa ndani Tapatalk ni nini? Maana naona baadhi ya member kwenye last activity yopo on Tapatalk hii sijaielewa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari naomba niweze kufahamishwa huu muungurumo unasababiswa na tatizo gani. Ni ki fridge kidogo cha Mr UK na huwa linawaka na kuzima automatic lakini siku za karibuni lilipata shida ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hii app kwenye simu yangu huwa haikubali kuupdate kabisa japo huwa inanipa taarifa kuwa kuna new update. Naomba kujulishwa km kuna namna ya kufanya zaidi.
1 Reactions
5 Replies
774 Views
Habari wadau hivi ni OS (embeded OS) gani naweza kuedit kwa ajili ya electronic devices au linux lite embeded ipo ambayo naweza kuedit??? karibuni
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Naomba kujuzwa(kufahamixhw) kuwa naweza kutumia WhatsApp my friend zangu wasijue kuwa nko online Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
56 Replies
23K Views
Kwa kweli simu nilizoamini ni nzuri ni pamoja na Samsung lakini kwangu imekuwa tofauti, mwanzoni simu ilikuwa vizuri lakini sasa hivi natamani kurudi kwenye tecno na infinix, maana nikiwa safarini...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wadau Samsung galaxy s4 android 5 ikiwa na 32gb rom 1.8ghz cpu with exynos 5 octa core na ram 2gb korean version. Au ambao mnatumia international version vip bado inafaa kwa matumizi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom