Wakubwa Natumai Mu wazima wa afya.
Niende kwenye Mada moja kwa moja
Wakuu laptop yangu Hp elitebook 2760p
RAM 4GB
HDD 500GB
Window 10pro
nikiiwasha inaniletea maelezo hayo msaada tafadhali
2021 is about to end in the next three months and that means there is another cycle of WhatsApp ending support for some Android smartphones and iPhones.
WhatsApp has shared a list of devices that...
Nimejaribu kuingia mtandaoni kudownload flash file ya TIGO smart kitoch kila inayokuja inakuja na password unapotaka kui extract hivo kama una faili isiyo na password nipatie link
Natumai ni wazima was afya,
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni INFINIX tukutane tupeane utundu, ujanja wa Yale yaliyomo ndani ya simu hizi, binafsi natumia INFINIX...
Wataalam wa Technology habari zenu,
Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba...
Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima...
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?
Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?
Kati ya Non...
Nilisoma comment ya mdau mmoja humu forum akielezea uzuri wa TTCL.
Mimi nina maoni tofauti, ambayo huwa yananipa mawazo sana.
Kwanini nasema hivi, Kwannza hawako business oriented, kuna vitu...
Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
Msaada wenu tafadhali ninatumia simu ya samsung Note9 ninahitaji app nzuri ya free ya kurekodia sauti kwa ajili ya matangazo nilizojaribu kuzidownload hazichuji sauti vizuri ila nilibahatisha moja...
Hamjambo bila shaka.
Leo naingia nijiunge bundle la week nakuta vifurushi vimepunguzwa gb kwa 50℅
Gb 2 kwa week ambazo nilikuwa nazipata kwa 3000 now ni 5000 huku gb1 ndio 3000.
Napo hizo gb 2...
Nimekuwa nikitumia halotel hawa jamaa sasa hvi ni bure kabisa kuanzia bei za vifurushi vyao mpk kasi ya mtandao, kifupi wanaboa sana.
Naomba kusikia wenye ufahamu wa mtandao wenye internet ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.