Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile...
Nilikuwa natumia WhatsApp sasa nilisahau ku update,ime expire nimei jaribu kwenda playstore ku download nyingine lakini imekataa kabisa[emoji134]
Kuna documents muhimu nategemewa kutumiwa, naomba...
Hamjambo, mimi si mjuvi kwenye mambo ya games ila mara nyingi nimekua napigwa kwenye pad za ps2 na ps3
Naomba mnisaidie jinsi ya kuzitofautisha pad imara za duka na fake
Na pia pad imara za mtumba...
Kati ya vitu vinakera Basi nikutumia simu kwa mashaka ya kukuishia charge/kuzima kabla ya muda ambao hutarajii/hukupanga kuicharge.
Raha ya smartphone yeyote ni kuitumia kwa uhuru kadiri ya...
wadau na ombeni msada wenu nashwindwa kuelewa kwa nini tuvuti nyingi za Tanzania zikiwemo za serekali na watu binafsi zinachapishwa kwa kingereza huku walengwa tukiwa ni raia wakawaida kabisa...
Wanajamvi natumai nipo sehemu sasa ambapo naweza kupata msaada kutoka wa wataalam wa JF.
Wakati nipo Dar nilikuwa natumia mtandao wa TTCL kwenye vifurushi vya internet na kasi yake ilikuwa ni ya...
wakuu naomba kufahamu maujuzi ya kutumia monitor ya computer kuunganisha receiver mfano ya dstv au azam. Pia naomba kujua ubora wa picha zinazoonekana na mwisho ushauri juu ya monitor nzur kwa...
Wakuu nataka kununua simu ya Samsung.
Sasa kuna hizi A series na J series. Je, ipi ni mzuri kwa budget ya shilingi laki 6 hadi 8?
Au hata S series pia ipi nzuri?
Poleni na majukumu wakuu na habari zenu
Kabla kusomea course ambayo nimesoma saiz nilitamani Sana kuwa director wa movie kitu ambacho kipo moyoni.
Kilochoshindikana Mimi kusoma ni ndugu zangu...
Wadau habarini za siku, mwenzenu hapa usiku wa kuamkia leo nmeibiwa simu yangu, nimeenda polisi nimefata process zote ila wamesema kuitrack kwa Imei inaitajika nitoe tsh 150k, lakini swali...
Habari Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna PS Vita yangu, nnaacheza game zile zile ningependa nidownload game zingine then niweze ku'install kwenye PS vita ambayo ipo cracked...
Write a program which repeatedly reads numbers until the user enters “done”. Once “done” is entered, print out the total, count, and average of
the numbers. If the user enters anything other than...
Taiwanese Semiconductors Manufacturing Company au TSMC ndio kampuni maarufu inayotengeneza chipset za simu za kiwango cha juu au flagship phones kama Huawei P40 Pro, Iphone 11 Max Pro, Samsung S20...
Jamani nahitaji kuunda circuit ambayo itatrigger alarm iwapo D.C Voltage itashuka below 0.35V
Sidhani kama itakuwa complicated sana as ndio circuits ambazo zinatumika kutrigger notification ya...
Napata error message "SERVICE REQUIRED" na waste ink counters zimefikia 100% na zime block printer from running again untill resert is done. Nahitaji kujua kama nitaweza resert bila gharama manake...
Mfano nimeona picha ya mtu kwenye Mitandao nataka kujua ni Nani au I'd zake za online ..Una search vipi?
Nimewahi sikia Sana kuhusu image search but sijaelewa inafanyaje kazi au kuna apps za kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.