Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes. Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni data recovery software ipi nzuri isiyokua na limit ya data recovery( free unlimited data recovery) au mwenye crack za hizo software kama...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Tangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim. Mtaani kumekuwa na watu wengi wasijua hili na mara nyingi wanasema simu hizo...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za size naomba msaada wa computer nzuri bajeri yangu ni kati ya 400$ to 500$ kama used iwe good condition karibuni
2 Reactions
6 Replies
920 Views
Niadje wakuu, Baada ya kuw kimya mda mrefu leo nimerud tena JF Leo naileta kwenu premium app ya star times ambayo hulipii chochote ni wewe na bando lako Ili kupakua app hii ni lazima uwe...
4 Reactions
70 Replies
11K Views
TZS 220,489.37 50%OFF | 7.3 inch HAUWEI P50 PRO Smartphone 5G 16GB+1TB 6800mAh 64MP Camera Unlocked Mobile Phones Telefon Celulares Cellphones https://a.aliexpress.com/_mLCLzeW
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau nilikuwa uhitaji na app ya archicad 19 ambayo ipo cranked maana nimechoka kutumia demo kwasababu aisave
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Nahitaji kupima eneo langu la ardhi. Nimeona app nyingi. Sifahamu iliyo bora. Pia naomba kuelekezwa namna ya kuitumia.
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Instagram, WhatsApp & Facebook all Down! Worldwide 04/10/2021 What happened?
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu. Heshima kwenu. Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu. Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...? Naweza kuona interface ya laptop kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi na nyie pia facebook na whatsapp hazifanyikazi toka saa kumi jioni 4 /2021
1 Reactions
9 Replies
744 Views
Wakuu,simu yangu Leo siku nzima wahatsapp na insta hazijafanya kazi naishia kutumia Facebook na telegram tu. Kuna mtu Jana nlimuachia simu sijajua kama kuna setting kazifanya au shida nini simu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipeni changamoto zake, vipi hakina skarach kweli nataka nikinunue na mie sio kila siku muangalie nyie tu Mipira ya kibongo vipi chanel hazisui sui?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Wakuu salama kati ya izo port apo ipi inaweza kuwa Na cable Na ya kwenda kwenye Ethernet Port
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri. - preferably those with video stabilizer (stabilization) Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc. Sorry...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu msaada wenu tafadhali. Simu yangu (Samsung A50) ilivunjika kioo cha nje camera ya nyuma, nkaenda kwa fundi akaniwekea kingine ila ule uangavu wa picha haukuwepo tena, leo nmeamua kuking'oa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani msaada nina iPhone mpya lakini kufungua email wananambi connect with SSL nafanyaje?
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Back
Top Bottom