Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
NI SMARTKITOCH CHA TIGO KUTOKA ITEL (it9300) Je, Ulitumia booty key ipi? Au haitumii booty key wakati wa kuflash?, kama ni ndio ulifanyaje mpaka haikujiwasha ulipo unganisha katika PC? SHARE...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu mwenye game parkage za pc na ps3 anisaidie ntachangia japo kidogo coz me pia nilikuwa nazo ila disk yangu imecorupt
1 Reactions
7 Replies
779 Views
Wakuu mwenye uzoefu na hizi programu za kufanya "mapping" ya radio ya gari naomba ufafanuzi na je nitapataje hiyo programu
1 Reactions
2 Replies
915 Views
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ? Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimepata shida ambayo nimeambiwa natakiwa ku clear cookies and caches naomba msaada tafadhali
1 Reactions
7 Replies
499 Views
Msaada simu yangu nikitaka kudanlodi application basi inalodi inazunguka tu hata asubuhi mpaka jioni haidanlodiki tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natumia laptop lakini nashindwa kurusha material yangu kama picture na document kutoka kwenye simu kwenda kwenye laptop. Kwa sababu sioni option ya bluetooth kwenye laptop nawezaje kupata hiyo...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Jamani habari, Ma mkubwa wangu simu yake inaandika hivi, tatizo itakuwa nini haswa 👇
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Leo nimeweka vocha ya 1500 nimefanya na setup ya torrent nikitegemea kupata GB 10 za usiku nishushe series nakuta kifurushi hakipo Voda walishakiondoa siku nyingi sijui tunahamia wapi sasa wazee...
5 Reactions
62 Replies
13K Views
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi.. Hi ni kwa wapenda luxury [emoji6] Hi ni wireless mouse inayounganisha pc au desktop na smartphones iwe android au iPhone Anza kwa ku downlod remote mouse kwenye computer yako Kisha download...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani? Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo? Wacheni watu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habar za majukumu wanajamvi! Msaada jaman kwenye tuta, na download whatsapp gb kwenye cm yangu inagoma kwa anayejua tatizo nn naomba anisaidie....natumia samsung A03s. Asanten nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hodi wanajamvi, Naomba tujuzane huu mtandao wa UDEMY ambapo unaweza kusoma masomo mbalimbali kwa malipo kidogo. Kutokana na ushamba wangu kuna jamaa angu akaniambia kupitia mtandao huu unaweza...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Habarini,mimi huwa najiuliza maswali mengi sana hivi kwanini mitandao yetu yote hapa Tanzania vifurushi vizuri na vya bei nafuu vyote vipo kuanzia usiku yaani Sa sita usiku hadi sa 12 asubuhi au...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii mada kila mtu ataandika code yake hapa ili kuonyesha reaction yoyote kwenye app, au web development mimi naanza na jinsi ya kuweka slide show kwenye website, application kwa kutumia...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimenunu hizi battery za Sony nimeweka kwenye hii remoti ndani ya SIKU 1 tuu zimeisha chaji, nikadhani labda nimepigwa, nikaenda sehemu nyingine nika nunua kama hizi hizi nazo ndani ya siku 1...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta motherboard ya dell inspiron 15 3000 series core i3, mwenye nayo pls ani DM. Ahsante.
1 Reactions
1 Replies
455 Views
Back
Top Bottom