Angalia hizo picha za hizo friji kisha unishauri unatumia lipi hapo?
Nataka kununua friji lakini nashindwa nianzie wapi favourite yangu ni friji ndogo au size ya kati huwa sipendagi mafriji...
Habari ndugu zangu.!
Nina mpango wa kununua friji isiyozidi Lita 200. Napata shida katika kuchagua kwa kuwa sina uzoefu, Naomba mnisaidie kutambua sifa za friji ambayo haitatumia umeme(units)...
Wakuu naomben ushauri nahitaj kununua king'amuzi cha Azam TV kwa wale wenye uzoefu navyo
Naomba kujua list ya local channel.
Uangavu wao unazidi startimes ya dish?
Hdmi cable ni bure wakati wa...
Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili...
Habari za leo ndugu zangu. Nina project proposal kichwani. Nimeshaidhibitisha uhalali wake na mafanikio ya hio proposal.
Nimesha kadiria malighafi na gharama za kuifanikisha. Tatizo linakuja...
Habari wakuu,
Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k
Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications...
Habarini ndugu,
What makes your presentation to capture the audience attention, is all about how you transform your data/content into smarter, professional and presentive slides. Na hii mara zote...
Ndugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa...
Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online.
Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots...
Habarini za asubuhi wanajamvi,
kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya...
Aisee apple ni wajanja sana
Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13
Bei yake iko juu sana
Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake
Kwa kifup hakuna jipya
MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
Watu wengi wanaambiwa computer yako imekufa motherboard nunua laptop mpya.. Hii si sawa ni uvivu tu wa mafundi...
Embu taja tatizo lako hapa nikushauri....
Wizara ya Ulinzi Nchini humo imewaonya Watumiaji wa simu za Kichina kuzitupa na kuepuka kuzinunua. Kauli hiyo inakuja baada ya Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Usalama wa Mtandaoni.
Watafiti...
Habari wana JF!
Mwaka jana ulipoanza niliweka nia ya kujifunza website development, nashukuru nimefanikiwa kutengeneza website yangu na kilichobaki kuifanyia minor improvements na kuihost...
Habari za muda huu.
Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.