Ni raisi sana kuiset smartphone yako iwe kama CCTV camera, IPwebcam ndio suluisho la tatizo ilo. Fatana name mpaka mwisho wa Tutorial hii. IPwebcam is easily the best of the lot because it works...
Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft...
Hili tatizo limeanza majuzi tu
Sabufa langu main speaker inanguruma
Kuna saa inatulia haingurumi but baada ya muda linaanza kunguruma?
Je, tatizo ninini?
Mwanzo lilikua likinguruma kwa nadra...
Habar za wikendi ndugu, kuna subwoofer yangu na TV kuanzia juzi zinatoa mlioa ka muungurumo wa genereta wakati mwingne zinatulia but muda tena huanza sasa sjui tatizo nini maana huo muungurumo...
Wakuu nimekua nikitumia android 4.4.2 kwa sasa sina hela ya Surplus ili ninunue sim ya android ya juu zaidi
Msaada kama naweza upgrade my phone at least kua android 5 au 6 mana mambo yangu mengi...
How to generate or create Sitemap file for any website free
Site ni file ambalo linaiwezesha search engine kama google au bing kuipata website yako kiurahisi kipindi watu wakisearch.
Jinsi ya...
Wakuu kila mara nikitaka ku google kitu website ya google inakua haipatikani wakati nakuwa na bundle na website zingine zinafunguka fresh tu. Naibahatisha kwa nadra sana
Natumia TTCL. Halotel na...
Toleo la China la Mtandao wa Kijamii wa TikTok linalofahamika kama 'Douyin' litadhibiti matumizi yake hadi dakika 40 kwa siku kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 14
Hatua hiyo inakuja wakati...
Habari ndugu zanguni
Naombeni msaada juu ya hili tatizo, simu yangu inatumia LINE mbili sasa baada ya kufanya system update limeibuka tatizo la "SIM 1 not allowed". Nimejaribu kurestart simu...
Hatimaye siku mpya imewadia.
Leo tarehe 14-09-2021, kampuni ya Apple inatarajia kuzindua ama kutambulisha bidhaa mpya sokoni. Bidhaa hizo zinazotegemewa kuzinduliwa ni Apple iPhone 13, Apple...
Nimeshindwa namna ya kuinsert moderm kwenye laptop kwa matumizi yangu ya internet
Ninatumia lain ya Halotel ninaomba kuelekezwa namna ya kuset ili iweze kuunganisha internet.
Naambatanisha...
Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...
Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..
Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz
#forgive me.
Habari wakuu, kwa sisi tunaopita kwenye website mbalimbali tumekuwa tukikutana na hiki swali mara nyingi,hasa website za technology,likitutaka kuthibitisha kwamba ni binadamu anaye peruzi, hivyo...
Kampuni ya apple leo itakua na uzinduzi wa bidhaa zake mpya zitakazoingia sokoni. Bidhaa hzo ni kama iphone 13, iphone 13 min, iphone 13 pro na iphone 13 pro max.
Apple wamesema iphone 13...
Waheshimiwa, PRINTER ya EPSON L3110: Ina tatizo la kuwaka kwa ku_blink taa zote (nyekundu na kijani),
Inaprint vizuri.
Ila haitoi copy wala haiscan.
Na ina miezi mitatu tu tangu inunuliwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.