Habari zenu wataalaam ,naomba msaada cm tajwa hapo juu haingiizi charge, ukiiweka kwenye charge inaleta alama ya kucharge Kisha inapotea inafanya hivyo hivyo bila ya asilimia kuongezeka...
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
NJIA ZA KUFUNGA KIOO CHA SIMU NA USALAMA WAKE (SCREEN LOCK)
SLIDE TO UNLOCK: Hii ni njia rahisi na isiyoshauriwa kutumika. Kuweka hii ni sawa na kufunga mlango kisha unaweka jiwe dogo ili...
Naomba ushauri kabla sijaingizwa mjini mimi sio mzoefu wa hizi falt TV.
Ipo hivi kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ni mzanzibari anafanya kazi bara. Nilimwambia nahitaji kununua tv ya bei ndogo ila...
Habari ya jumapili wakuu.
Naomba kujua kama naweza kutumia dishi moja la azam au dstv kuweka vile kichwa viwili vya azam na dstv.
Nina ving'amuzi viwili, dstv na azam ila najaribu kuangalia...
Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli.
Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake...
nikidownload wimbo naambiwa error in fetchng file!natumia techno za kawaida hz ila cjui ni techno ngap!! nilinunua kariakoo 55 elfu!! wimbo unakuwa downloaded wote ila hauji save! help your cousin...
This Python code raises an Attribute Error: 'list' object has no attribute 'shape'.
Select it, copy and paste it here Programming and Computing with Python Right from the Forum to run and explore...
Msaada nimeanza kutumia haka kabox dizain kama nimekielewa Ila Sasa naomba msaada kwenye hili
1: Je naweza kuangalia epl kwa kuunganisha app ya DStv na satellite receiver smart card ya jirani?
2...
Niaje Wadau?
Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh
Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe...
Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari.
Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la...
Yandex ni search engine kama google, bing au Yahoo, ila hii ni Ya Urusi.
Ni ya Sita Duniani kwenye List Ya Search Engine Muhimu Duniani.
Neno Yandex lina maana ya “YET ANOTHER INDEXEE”
What...
Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame.
Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.