Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu yangu ya samsung s6 imegoma kufunguka inahitaji backup password to unlock the device. Nifanyeje maana sikuwa na pasword yoyte zaidi ya kufungua kwa fingerprint.
0 Reactions
8 Replies
788 Views
Wakuu anayeelewa kuhusu jinsi ya kufanya hapo naomba ufafanuzi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamii Forum Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
HABAR WADAU hope wote mpo poa Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Wakuu salamu Nina page yangu Facebook,kuna jamaa fulani hivi Nadhani ni wa nje ya Tanzania alinitumia sms WhatsApp akisema kuwa anataka awe anaweka matangazo kwenye Facebook page yangu na awe...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Facebook Inc. imepanga kubadilijina ili kuendelea kushikilia soko la mitandao ya kijamii. CEO na Mmiliki wa kampuni hiyo, Mark Zuckerberg amesema atalitaja jinajipya Oktoba 28 katika mkutano mkuu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Natumain tu wazima, nlipenda leo tujadiliane juu ya app ya premise. Kwa kuanza tu hii ni app ya kupata vijipesa online haitajirishi ila ni ya kupata pesa za vitunguu tu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kupitisha ving'amuzi 2 katika cable moja kisha kugawa tena kwenye receiver 2
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu, habari za jumapili? Niliamua ku-upgrade simu yangu kwenda Samsung S21 Ultra na ku-test the difference, nikanunua hiki chuma, aisee hii chuma ni habari nyingine. Kwanza kiko smooth, hii...
13 Reactions
74 Replies
13K Views
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza mipango ya kuzindua mtandao mpya wa kijamii, uitwao TRUTH Social. Amesema jukwaa hilo "litakabiliana na jeuri ya kampuni kubwa za teknolojia "...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema baada ya kubadili display simu yangu inachelewa kujaza moto yaani nimeweka usiku kucha lakin nakuta ina asilimia 52 Msaada kwa hii ishu simu ni Galaxy A02 KAVU
0 Reactions
13 Replies
1K Views
They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaandika mange kimambi
4 Reactions
159 Replies
17K Views
Habarini waungwana Okay iko hivi wiki hii story kubwa ni kuhusu kampuni ya Anghami kuweza kuingia kwenye soko la Hisa la Marekani la NASDAQ na kuwa kampuni pekee ya Lebanon kufanikisha kuingia...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu Wale wenzetu waislamu salaam aayqum. Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani? Budget...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Mambo vipi wana jamvi, nna redio yangu LG xboom mini Hifi ina spika mbili sasa nilikuwa nna wazo la kutafuta spika zingine za JBL ili niunganishie kwenye hii redio nisiwe natumia hizi za Lg jee...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayefaham jinsi ya kurudisha data zilizokuw katika memory card,memory card yangu ime corrupt.....
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu ni brand gani za flash na memory card zinapendwa zaidi?
3 Reactions
53 Replies
16K Views
Wapendwa habari? Mimi si muandishi mzuri ila naomba uvumilivu wenu na msaada kuhusu Gb WhassApp.Hoja ni kwamba hivi karibuni mke wangu alibadilisha app yake na kuweka Gb WhatsApp.Siku za nyuma...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom