Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nataka maelekezo jinsi ya kujiunga Sent from my itel S13 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Hakuna ubishi...trafic wamezid!wengine wamefikambali zaidi na kujificha vichakani!unapigwa tochi bila kujua...utashangaa unasimamishwa huko mbele na kuambiwa spidi yako ilikua above 50km/hr....je...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Naomba msaada wakuu kwa apk ya IMEI changer kwa Qualcomm devices, hii Mobile uncle naona ni kwa MTK devices tu. Kuna loophole flan hivi ya free internet nataka kuiexploit
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada mwenye kujua wapi naeza kuuza sakiti mbovu za simu ( smartphones na za kawaida ) kwa Dar es Salaam.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari wakuu ! naomba msaada jinsi ya kunlock router ya smile 4G ya franklin r711
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Hellow Jamii Forum, nahitaji sana kupata hiyo DVD ya Eclipse AVN440 5D kwa ajiri ya Ku unlock Car Radio, na hii inakuja baada ya Kuchomoa Betri ya Gari, then Bahati Mbaya Ni kuwa DVD yake nilikua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku Kama ulivyoweza kusoma kicha hapo juu, leo nitaenda kukujuza maujanja ambayo inawezekana ulikuwa hujui kuhusu laptop...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Hivi hawa Posta Tanzania wanatumia usafiri gani kusafirisha package kwa EMS? Dah kwa kweli wanaboa sana sasa sijui wanazibeba bahasha kweenye mkokoteni ata sielewi... Hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana tech habari yenu, Juzi jioni nilifanya malipo ya package ya compat ya dstv 51000elfu na baada ya malipo kufanyika sikupata huduma ( picha) Nimewasiliana na customer yao zaidi ya mara...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mambo vipi wadau? Hivi inakuaje mtu hana publicity yoyote katika jamii lakini akipost chochote fb reaction zinakuwa kubwa sana tena kwa muda mfupi? Yani unakuta akipost dakika hiyohiyo likes...
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari wana JF, naomba mwenye kujua thread ya software za computer cracked ani-tag Naomba kuwasilisha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Naomba kusaidiwa namna ya kutumia OTG/OTG CABLE AU NAMNA NYINGINE YOYOTE katika simu ili Iweze kusoma FILES kutoka kwenye EXTERNAL HARDDISK. NB: Natumia Samsung A50 External HDD...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Salute members! Naombeni msaada namna ya kutumia Wi-Fi map. Nikidownload country inanitaka kulipia wakati ni ya bure (free) ...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako zangu hizi 1.Android studio 2.VLC 3.Kaspersky 4.Ms office 2019 5.Adobe 6........ Ongezea na zako..
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni; 1. Cookies...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari wadau !! Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site Niliwahi kusoma coment moja ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom