Jamani battery langu la simu niliona limekwisha kuanza kupunguza ubora Hadi kufika nusu ya mdaa wakukaa na charger Sasa nikasema isiwe kesi nikanunulia battery jingine Cha kushangaza battery...
Wakuu habari
Na movie zangu nimedownload kwenye Tab nataka niziangalie kwenye Tv
Nina Samsung Galaxy Tab A ina run Lolpop
Kila niki connect kama mass storage kwenye Tv yangu Star-x, Tab...
Wakuu ninilikua na enjoy sana game la “Drafti” kwenye Android
Game la Checkers by Dalmax lilikua lina sheria za kibongo
Sasa kwenye iOs kila game ninaloshusha nakuta halina sheria kama...
Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
Habari jamani naomba kufahamu kama kuna mtu aliyewahi lipwa kwa kutizama video mtandaoni maana kuna jamaa kanitumia link anasema aliwahi lipwa naomba uzoefu kwa mwingine aliyewahi lipwa au mwenye...
Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload...
hABAR WADAU
Fax ndio kitu gan na nawezaje kikitumia apa ofisin kuna orinter kubwa ina fax ndan yake ila hiki kitu ni kigen sana kwangu nimeiconnect na ethernet cable from zuku fiber sasa nimebaki...
Wakuu,
Matajiri wawili wakubwa duniani waliwahi kutoa maoni yao juu ya uwezo wa computer;
Elon Musk yeye alisema computer ni smart zaidi ya binadamu kwenye maeneo mengi
Jack Ma yeye alisema...
Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako...
Sweden,
Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya...
Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane...
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwakaa huu.
Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T...
Wakuu nimejaribu njia zote zilizo ndani ya uwezo wangu nimeshindwa. Ukiweka Sim card tofauti haikupi uwanja wa kuandika unlock codes.
Je kuna njia gani tofauti naweza jaribu.
Shukrani.
GsmArena wamasema wamepata taarifa kwamba kampuni ya Samsung inayotarajiwa kuachia simu yake ya mwaka ama Flagship Phone ya S22 Ultra ambayo inatarajiwa kua na picha kali zaidi kuliko S21 Ultra...
Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.
Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi...
HABARI WAKUU, Rejea kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kwenye moja nambili nikwamba tv yangu haichukui picha kupitia AV1 NA AV2 lakn ukichomeka kupitia mfumo huu wa (y cb cr) inaonesha lakn...
Habari wakuu?
Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli.
Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.