Wadau za jioni, nataka kujua kati ya GB Whatsapp na FM Whatsapp ipi ni bora kuliko mwenzake? Maana nashindwa kujua ipi bora nataka nihame Whatsapp ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wataalam...
Kwanini nikiblock namba fulani ya Simu Ila nikija kutazama kwenye setting kipengele Cha block sms and block call Huwa naziona sms zote nilizochat na hiyo namba hata kama...
๐ ๐ง๐๐ก๐๐๐ข ๐ช๐ ๐ฌ๐๐ฆ (๐ง๐๐๐ข) ๐จ๐ก๐๐ฆ๐จ๐ ๐๐จ๐
Kampuni ya Yas ambayo zamani ilikua inaitwa TIGO Leo hii imepata changamoto toka mchana huduma mbalimbali zimekwama kwa watumiaji wake.
Watumiaji wa mtandao wa...
Sijawahi ona simu yoyote ya Google pixel au Aquos au brand nyingi za kimarekani au kijapani zikisoma 5G hapa bongo
Kama kuna mtu anatumia simu tajwa hapo na inapanda hadi kuweka nembo ya 5G au...
Wakuu nimenunua pocket internet router ya universal,nimeweka simcard ya voda com.pale kwenye setting nimeweka hivi
NAME:vodacom
APN:internet
USER:...
PASSWORD.
AUTH: None
niki save bado internet...
IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida.
Kuna huu mchongo...
๐๐จ๐๐ช๐๐ ๐๐๐ก๐ ๐ ๐ฃ๐๐ก๐ญ๐๐ก๐ ๐ ๐ช๐๐๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฐ
Kampuni ya Huawei wametangaza kuachia simu zao mpya mbili aina ya 70 series na Mate X6 siku ya tarehe 26 novemba mwaka 2024.
Hii ndo simu Bora kwa mwaka huu...
Watu wengi wanapenda simu za kisasa zenye uwezo mkubwa kwa bei ya kawaida. Hali hii inapelekea wengi wao kuamua kununua simu zilizotumika (used) kutoka nje ya nchi, katika masoko maarufu kama...
Habari zenu,
Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na kingโamuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na...
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.
Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza...
Hackers kiboko wameiba pesa nyingi balaa
Benki kuu ya Uganda (BOU) inasema inasubiri ripoti ya uchunguzi toka kwa polisi nchini Uganda juu ya tukio la wizi wa Fedha zaidi ya dollar milioni $17...
Wakuu habari?
Nataka kupendezesha kasebule kangu, nakosa mdundo mzuri tu sebuleni. Wadau wanashauri ninunue Sound Bar za JBL.
Nimefanya ununuzi wa madirishani kwenye baadhi ya maduka yanazouza...
Hello wakuu
Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa...
Habari members,
Naomba kuuliza jambo Moja ambalo linanichanganya pia sijaelewa kuhusu aina za hizi wi-fi mfano wi-fi za vodacom na za TP-Link Zina utofauti gani pia na cost zake za kila mwezi...
๐๐ข๐ข๐๐๐ ๐ ๐๐ฃ ๐๐ ๐๐จ๐ ๐ช๐๐ง๐จ ๐ช๐๐ง๐๐ง๐จ
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India.
Google...