Habari za asubuhi ,hope mmeamka salama kwa wale wanaokumbwa na changamoto za hapa na pale Mungu ni mwingi wa Rehema hakika atawaponya.
Moja kwa moja kwenye mada ,ipo hivi kuna ndugu alinunua simu...
Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor...
Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa.
Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review...
Features of GbWhatsApp:
GB Whatsapp APK 2021 is designed with the tons of features, and all those features you can use on a smartphone. Following are the features of GB Whatsapp
Auto Reply...
𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗲𝘁𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗽𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗸𝗼 𝗰𝗵𝗼𝗼 𝘂𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼
Inawezekana kama ni jambo la kushangaza lakini ndo uwalisia!! Utafiti unaonyesha simu tunazozimiliki ni chafu kuliko hata kile kiti...
Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani...
Mwaka 2013, mwanaume mmoja aliweza kuwashtaki redbull kwa kuweka tangazo la Uongo na kumfanya wamlipe dola milioni $13 kwa kutompa mabawa.
Anaitwa Benjamin Careathers aliweza kufungua kesi dhidi...
Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye
Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele...
Dunia na maajabu yake wanasema tembea ujione nchini Uswizi (Switzerland) Kuna kanisa Moja hivi Liko kwenye mji wa luceme, wameunda AI yenye nguvu yenye kuzungumza kama Yesu kwenye jumba la...
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama...
Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2
Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama
Smart phone 4 zinazochajiwa mara...
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna...
𝗔𝗣𝗣 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗞𝗨𝗧𝗔𝗕𝗜𝗟𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗙𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢
Duniani Kuna mambo aisee😳, wazungu bhana okay kwa kuwa kazi yangu ni kuwajuza nimepita mahali nikakutana na hii app 🥱....
Kuna app Moja ambayo imeundwa...
Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki 😁, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako 👋
Ukiangalia...
1. Namba ya Serial na IMEI
- Hatua za Kufanya:
1. Nenda kwenye Settings > General > About.
2. Tafuta Serial Number na IMEI.
3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple...
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite.
Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia.
=========
SpaceX...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.