Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya.
Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto...
Jamani nimeipenda hii whatsapp kuna mtu nilimuona anayo nikashindwa kumuuliza kapata vipi kama kuna mtu amewahii install hii whatsapp Gold version naomba atuwekee Link hapaa yuishushe kirahisi...
Teknolojia inakwenda Kasi sana hivi unajua unaweza chaji simu yako kwa kutumia Kadi 😂 !!! Najua una shangaa sana lakini ndo uwalisia.
Kuna kitu kinaitwa chaji Kadi (chargeCard) ni chaji...
Hello JF members!
Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na...
Wasalaam wakuu,
Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi...
Wanajamvi salaams
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue.
Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora
Natanguliza shukrani
Bitsoup Bitsoup is a growing favorite amongst P2P downloaders. As the trend towards private torrent sharing continues, you will need to signup and join as a member to participate in the Bitsoup...
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube,
1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare...
Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch).
Natanguliza shukrani.
I have viewed a certain article from a certain website in Tanzania , and I was very interested with the piece of content , unfortunately the piece of content was very short. And I would like to...
Jinsi TikTok Inavyolipa na Kuajiri Watu
TikTok imekuwa jukwaa maarufu duniani kote, sio tu kwa burudani bali pia kama chanzo cha mapato kwa watu wengi. Kwa vijana na wakubwa, TikTok inatoa fursa...
Kim Kyung-Ah
Kampuni ya Samsung inayojihusisha kutengeneza vifaa mbalimbali vya kieletroniki, kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa miaka 86 iliyopita Wamemuweka mkurugenzi mtendaji mwanamke kutoka...
Shikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani...
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.