Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari. Juzi kama wiki mbili zilizopita nilinunua simu ya OPPO a9 , Nimejikuta namba zangu mbili site zimefungiwa WhatsApp Kwa sasa nimejaribu kutumia tatu na zote zimefungiwa. Naombeni...
0 Reactions
4 Replies
661 Views
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗳𝘀𝗶𝗿𝗶 𝘂𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘂𝗹𝗶𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝘄𝗮 Meta wako kwenye majaribio ya kuachia feature mpya ya kuweza kutafsiri ujumbe kwenye Whatsapp, itaweza kumruhusu mtumiaji wa Whatsapp...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
ISS (international space station) Ni jidubwasha kubwa sana linalobeba maabara ya watafiti wa anga, lakini life expectancy yake ndio hivyo inakaribia kuisha, linatakiwa liondolewe. Na kikubwa cha...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Wana Jamvi, Habarini. Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni...
4 Reactions
20 Replies
822 Views
Habari wana jukwaa letu pendwa ! Naombeni ushauri wenu wataalam wa teknolojia hasa upande wa smartphone, kwa maono yangu Samsung S21 Ultra Used kwa kias hki naweza ipata. Ushauri wako ni muhim je...
3 Reactions
11 Replies
554 Views
Habari wakuu, Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password, Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari! Mwenye simu ya Azumi L4K natoa NCK Code bure. Hii ni zawadi ya December Mrejesho muhimu
2 Reactions
4 Replies
367 Views
Habari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio...
0 Reactions
11 Replies
471 Views
Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
𝗝𝗮𝗽𝗮𝗻 𝗶𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗽𝗹𝗮𝘀𝘁𝗶𝗸𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼 𝘆𝗲𝘆𝘂𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗷𝗶 Timu ya Kimataifa inayohusika na masuala ya utafiti inayoongozwa na mjapani anaitwa Takuzo imeunda aina mpya ya plastiki ambayo ni ya...
1 Reactions
6 Replies
346 Views
Haya ndo matokeo.
2 Reactions
9 Replies
378 Views
https://www.youtube.com/live/808EX-G3zzQ
0 Reactions
0 Replies
118 Views
‌ Leo nazungumzia virus aina ya SHORTCUTS Hawa ni wasumbufu sana na ni hatari, Wapoje? Wanasambazajwe? Madhara yake nini? Tiba yake nini? Tuende pamoja. Virus hawa sijajua chanzo chake ila...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle). Kibongo...
0 Reactions
5 Replies
369 Views
Kati ya hizi aina mbili za simu . Google pixel na Iphone ambayo nzuri ni ipi nimechoka Samsung
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service...
0 Reactions
2 Replies
260 Views
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya. Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
1 Reactions
4 Replies
339 Views
wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20. je hiyo ni...
2 Reactions
10 Replies
534 Views
Back
Top Bottom