Habarini wana jamvi teknolojia inazidi kukua na kadri siku zinavyo songa mambo yanazidi kuwa mazuri
Leo nitawaletea iptv link yenye chanel michezo, tamthiliya na nyingine nyingi ila kabla...
✅35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote, Kutoa Piga #35*0000*11#
✅*33*0000*11# Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga, hii nzuri...
Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida..
So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard...
Wakuu Msaada pls,
Nimenunua Hisense dukani, nakuja home nimenotice kila baada ya muda flani sauti inajishusha mpk 0..na pia kuna kaujumbe kanaanzia na REVERT. Nisipobonyeza any button TV...
Imezoeleka Kwa wengi kutumia Namba ya simu kama 2FA.
Sasa tukija kuangalia usalama kawaida Huwa ni ndogo kwasabu zifuatazo.
Email inbox na outbox hazijifuti kama ilivyo kwenye WhatsApp.
Vyombo...
Vifurushi vilivyopo:
- Tsh 10,000 lite
- Tsh 18,000 pure
- Tsh 23,000 plus
- Tsh 28,000 play
Washa king'amuzi chako kisha ndipo ufanye malipo!
Ikiwa upo kifurushi kidogo hakijaisha mf: Tsh 10,000...
Naenda moja kwa moja kwenye mada!
Nime-boot flash na kuweka humo Windows 10, baada ya ku-restart na kubonyeza F9 na kupata chagua la USB kila nikiichagua hilo chaguo computer inajirudi sehemu ya...
Kuna hako ka Pembe tatu karibu na Bar za Network naomben Kujua zinamaanisha nn maana nimejaribu kuzitoa nimeahindwa
Nina wasiwasi isijeikawa wameni track
Habari
Ni App gani au link gani naweza kutumia ku download video toka YouTube?
Mana karibu siku ya pili sasa site nyingi zinanigomea ku download videos toka YouTube
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kuweka mahusiano mazuri na www.facebook.com sasa ni rahisi kwa mimi kuwapatia member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia...
Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi
Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu...
Habari na poleni na majukumu wanajukwaa,
Hivi karibuni nimekuwa nikijihusisha na kutengeneza web applications zinazojumuisha maswala ya malipo. Kwa kipindi hicho chote, nilikuwa natumia APIs za...
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA SOLUTION ZAKE
Habari wanajamvi,
Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga...
Habari wataalamu.
Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu...
Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?
Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza...
𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗺𝗮𝗯𝗼𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗰𝗵𝗼𝘇𝗶
Nazani umeshawahi kusikia sijui polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya kikundi fulani Cha watu mahali fulani JE hayo mabomu ya machozi ni kitu gani ? kwa...
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.