Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk...
Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents.
Briefcase hutumika kama silaha na pia vile...
AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi.
Au uwezo wake umeishia hapo?
Habari wakuu
Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno.
Nimejaribu mara...
WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify...
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna...
Njoo nikutengenezee PayPal ya UNITED KINGDOM UK
na utaweza kutoa pesa zako kwa mpesa tigo pesa na airtelmoney yako kirahisi zaidi
PATA PAYPAL YAKO LEO KWA 40K TU .
Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi.
Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika...
Habarini wanajukwaa
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza...
I am using a MacBook A1708 and have been experiencing an issue with its sleep and power functionality:
1. When I close the lid after using the MacBook for a while and reopen it, the screen...
Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni
Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya...
Hbr wadau,
Kwa anaefahamu namna ya kutumia luku ya jirani kuweka umeme naomba anijuze. Hizi luku mpya portable za TANESCO zinaruhusu hiyo kitu, kwa anaefahamu anisaidie
Ahsante
Simulator Games ni michezo inayolenga kutoa uzoefu wa maisha halisi kupitia mazingira ya kidijitali. Michezo hii inahusisha kuiga shughuli mbalimbali za kila siku au za kitaalamu, kama vile...
Wakuu.
Sahivi naona kila kampuni la simu either lina models za ku-flip au ku-fold na kama hazipo sokoni basi wapo mbioni kutoa. Ni trend inayofanya vizuri.
Sasa hivi hadi makampuni ambayo uwa...
Habri waungwana,
Naomba kujua ABCs zinazotakiwa kisheria na kitaaluma ili mtu aweze kufungua blog hapa nchini. nomba kujua kwanza taratibu za kufuata ili kuwekeza ktk blog hapa nchini pasi na...
Step 1: On the remote press menu, then choose 'Advanced options' then choose 'Dish installation' Step 2: the pin code is 9949 Step 3: You will notice a screen that has Network 1, Network 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.