Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

hallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee...
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Wakuu Naomba mwenye software ya kurejesha data ( Data recovery software) Windows 10 64 bit Natanguliza shukrani kwenu.
3 Reactions
18 Replies
393 Views
Bei ziko chini mno ukilinganisha na toleo lao lililopita la RTX 4090
1 Reactions
10 Replies
419 Views
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server...
8 Reactions
9 Replies
4K Views
Mwenye kujua namna ya kunlock hiyo MiFi anisaidie
0 Reactions
18 Replies
524 Views
Wakuu Ni simu gani ambayo inaongoza kwa kamera bora zaidi na ya bei nafuu
9 Reactions
119 Replies
5K Views
Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community...
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wazee wazee Kwanza nianze kwa kukiri kuwa sina kawaida ya kumalizia nyuzi ninazozianzisha kama ambavyo lecturers wengine wa JF walivyo pia Sababu kubwa huwa ni mbili, kukosa interest au...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Hivi unajua nchini Tanzania kuna kiwanda ambacho kinahusika na kutengeneza ndege, inaitwa Airplane Africa limited ni kampuni iliyopo Mazimbu mkoa wa morogoro ambayo inamilikiwa na wawekezaji toka...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini. Naomba Msaada Nilingia Akaunti ya Instagram nambiwa hivi.
4 Reactions
21 Replies
491 Views
Naomba kufahamishwa kuhusu uuzaji wa simu. Je simu za jumla natoa wapi? Nina mpango wa kuanzisha duka la simu.
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Bila shaka ilisha wahi kukupata hii... Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui. Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk. Kuna muda...
2 Reactions
3 Replies
441 Views
90s Computing: Windows 3.11 startup sequence 486DX 66 mhz i486 by Intel Microsoft Windows 3.11 MS-DOS 6.22 SoundBlaster 16 Isa sound card
1 Reactions
1 Replies
123 Views
Wanasema kizuri kula na nduguyo. Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao. Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi. Katika kuhangaika nikapata tool moja...
17 Reactions
121 Replies
13K Views
Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm 🙏
2 Reactions
12 Replies
853 Views
Nimekuwa nikiona hizi alama zikijitokeza mara kwa mara kwa mpishano kwenye simu yangu ila sijajua zina maana gani. Na je zinavyobadilika haziathiri ubora wa huduma kwa thamani ya fedha...
3 Reactions
7 Replies
310 Views
Back
Top Bottom