Naona kama kwa sasa limeingia wimbi la kutangaza na kuuza Rooters za WIFI kwa makampuni ya simu nchini.
Kila mmoja anavutia kwake kwa vifurushi vya Mbps 10, 20 na 30 ambavyo ni kwa 4G na 5G...
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara.
Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza...
Habari.
Natafuta mwenye uzoefu wa machine learning aweze kunijulisha mambo flani flani... Naona kama nimekwama.
Mwenye ujuzi ajitokeze tafadhali, tusaidiane.
Natanguliza shukrani.
Habari za wakati huu wana jukwaa la teknolojia,
Natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la u-z-i.
Hivi kuna uwezekano wa kubadili logo za simu pale ikiwa...
Habari za majukumu wanaJF,
Kama title isemavyo, PC angu imezima leo na imeanza kwa kujiandika maneno hayo kama inavoonekana kwa picha then maandishi mekundu ambayo haikuchukua muda ikazima a...
Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye...
Google Developers wamekuja na ubunifu wa kipekee!
Mtumiaji anapotafuta Squid Game Season 2 kwenye ukurasa wa kutafuta,
kuna pop-up ya ile business card iliyotumika kwenye Squid Game Movie...
Nimelipia online service moja lakini cha ajabu malipo yamekataliwa na kuambiwa kua IP Address niliotumia kufanya malipo iko katika range ya IP ambazo ziko black listed, na Tanzania iko blacklisted...
𝗠𝗔𝗚𝗔𝗭𝗘𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗚𝗨 𝗨𝗞𝗜𝗧𝗨𝗣𝗔 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗠𝗘𝗔
Inawezekana umeshangaa naam Japan ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira waliunda magazeti ambayo yana mbegu ukifanikiwa kusoma na kulitupa...
Just in
Android 15 ndani ya Google Pixel.
Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application...
Wakuu,
Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay!
Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
Habari za mwaka mpya wakuu, Kumekua na changamoto ya mawasiliano hapa nchini, kama mwaka mzima sasa, hususani kwenye mawasiliano ya kupiga/kupokea simu, kutuma/kupokea ujumbe wa maandishi, na...
naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage...
𝗠𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗮 𝗠𝘄𝗲𝗻𝗱𝗼𝗸𝗮𝘀𝗶 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗚𝗮𝘀 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
Wakati upanuzi wa barabara za Mwendokasi ukiendelea ili kurahisisha Usafiri nchini Tanzania. Tanzania sasa inasubiria mabasi zaidi...
Habarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.