Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
1 Reactions
6 Replies
404 Views
Habari waungwana, Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa Sasa lengo...
3 Reactions
4 Replies
296 Views
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗣𝗔𝗦𝗦𝗪𝗢𝗥𝗗 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗠𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔𝗞𝗢 Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aweke password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana. Watumiaji wa...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au...
2 Reactions
6 Replies
241 Views
Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first...
2 Reactions
3 Replies
247 Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Habari zenu wadau, Naomba kujuzwa bei ya laptop na desktop bora na imara za kisasa na Kama kuna mtu anaweza kunielekeza utofauti na ubora wake nasikiliza.
6 Reactions
143 Replies
10K Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
0 Reactions
5 Replies
210 Views
Wanajamii naombeni msaada decorder yangu ya azam haipokei signal ya remote je inatengenezeka kwani remote ni nzima nimetest kwenye decorder nyingine
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya...
1 Reactions
14 Replies
446 Views
PayPal has been the go-to payment solution for personal use for many years, but there are now several alternatives available. These alternatives offer a variety of features, fees, and capabilities...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mnisiadie hii font ni ipi kwenye Microsoft Word? Nahitaji jina la font kwa wenye experience. Shukrani
3 Reactions
19 Replies
604 Views
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua...
7 Reactions
33 Replies
957 Views
Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati...
3 Reactions
11 Replies
555 Views
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Habari wakuu!!Wanasema kizuri kula na wenzio!! Kama wewe ni mpenz wa kustream online hizo app mbili hutakiwi kukosa kwenye list zako Onstream hii ni kwaajili ya kustream movie na series ni app...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
💥OFFER-OFFER-OFFER💥 NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! 💥 Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi: 1️⃣ Utapata Domain...
1 Reactions
0 Replies
158 Views
Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration. Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Back
Top Bottom