Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wajuzi wa technoloji, Naulizia ni sat finder ipi ni nzuri na bei zake zimekaaje hapa bongo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwema Viongozi, Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini? Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko. Nb ni ina 8yrs now hp 650
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna mwenye nacho tafadhali pesa yako ipo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa kuhusu game za mission kama gtv 4 na gtv 5 huwa naona video za wale jamaa wa youtube wanaelekeza jinsi ya kupakua zile game mimi huwa na jaribu lakin sifanikiwi. Vipi kwa humu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu PC ninayotumia ni HP 850 Elite Book Sasa wakuu hii PC haina option ya Bluetooth, Je?, Nawezaje kuweka hiyo Bluetooth option kwenye Hii PC Msaada wenu wataalamu wa haya mambo
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Naona review za processor mpya za Ryzen ni kuwa zimeipiga mtama mkali intel mbali kabisa likija suala la gaming. Wataalam wa mambo wanasema kwamba technology ya AMD ni hatari sana na intel bado...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Nina Computer yangu ni i5 3rd gen i5 3470 Nilisoma uzi mmoja nikaona unaweza nunua graphic kubwa alafu isiwe na msaada mashine yangu ni sff yani ya kulala nataka ninunue graphic hii je nitapata...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Natambua kuna baadhi ya App zinakiuka sheria za nchi fulani hivyo zinafungiwa na hazipatikani kwenye Play store au App store Lakini Apps kwa mfano kama instagram lite, google lite, Twitter lite...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
1 Reactions
1 Replies
603 Views
Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB! Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!! Display is much better than expected!! Let's...
13 Reactions
124 Replies
16K Views
Habari Wana JF natumaini ni wazima, Naomb niende kwenye point ya msingi. Nimesoma pdf za kudesign amplifier nimesoma class A amplifier nimeiyerewa na nime design yangu kwa project board imefanya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nina Computer yangu ni i5 3rd gen i5 3470 Nilisoma uzi mmoja nikaona unaweza nunua graphic kubwa alafu isiwe na msaada mashine yangu ni sff yani ya kulala nataka ninunue graphic hii je nitapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wakuu nahitaji ku view xml template na style zake nikiwa offline.
1 Reactions
3 Replies
573 Views
NB:Uchambuzi huu umelenga wale ambao tayari wanaijua vizuri electronics,kama wewe bado hauko vizuri tafadhari anza kujifunza mafunzo ya awali bonyeza HAPA UBUNIFU WA INVETER Jambo la msingi...
4 Reactions
7 Replies
9K Views
NAOMBENI MSAADA WA KUFUNGUA FILES KWENYE PC MAFILE ZISIJIWEKE MULTIPLE MAANA YAANA KUWA KAMA UCHAFU HIVI HASA UKIWA UMEZIFUNGUA NYINGI
1 Reactions
6 Replies
870 Views
Wana tech wa humu ndani leo nina swali lenu, hivi ipi ni tofauti kati ya hdmi na digital optical cable??. Ipi ina higher resolution sound? Kuna watu wanakwambia hdmi wengine digital. Mimi nina...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Salaam wakuu Nina simu yangu hapa Nokia c1 ilipata tatizo la kioo nikarekebisha kwa kuweka kioo kipya, Baada ya kuweka kioo kipya ikawa haipeleki chaji,baada ya kurekebisha ikaa poa chaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za siku wataalam, Nina kisimbuzi cha Dstv kama kinavyoonekana pichani Mwanzo nilikuwa Napata Sauti kutumia HDMI wire ambao ililazimu ufike kwenye TV kwanza kisha nilichomeka AV wire...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi nawezaje kujua Kama simu yangu imetrakiwa(hacked/ kudukuliwa) kwa kutumia IMEI ?. Na je ntajiondoaje?
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom