AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30=30 × 2195=Tshs.65,850/=
2.Magari size ya kati- $50=50 ×...
Habari zenu wakuu, Maguru wa I.T
Nilikuwa yahoo group na wenzangu, ambapo december 15 2020 .Yahoo wamefunga groups. Nawezaje ona (kupata) emails za wale members niwatumie jumbe mmoja mmoja...
Habari.
Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar.
Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze...
Habarini wadau.
kuna sehem haina umeme na inalazimu kutumia torch kwa ajili ya mwanga, sasa hii tochi ina battery moja na kila siku inabidi uweke battery mpya.
hapo kwa mwezi ni kama elf 15...
Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung,
Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon...
Habari,
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza,
Caps-lock ya PC yangu aina ya TOSHIBA imezima ghafla baada ya kushusha window 10 kutoka window 8.1,
Mwenye ujuzi wa kunisaidia naomba...
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.
kifupi...
Wataalamu habari zenu, i hope mko poa, Heri ya mwaka mpya wote.
Eti ndugu zangu naomba kuuliza kwa wale watumiaji wa iphone eti ni kweli iphone kuna games ambazo ukicheza una earn real cash...
Kwa wanaohitaji kuanza maisha kwenye mazingira tofauti nafasi hiyo.
https://www.businessinsider.com/finland-relocation-remote-work-tech-90-day-finn-program-2020-12
Natumai tuko vizuri wadau,
Nina changamoto yaku login kwenye account yangu ya Twitter almost wiki ya 2 sasa. Nikijaribu kwa mda mrefu inaandika authorizing ila lastly inaandika error, kwenye...
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili...
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube
1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare...
Wakuu mambo vipi
Nina Samsung S6 tablet, sasa nilisahau password so nikaamua kureset
Sasa shida inayokuja after everything inanitaka niingize e mail na password ambayo hiyo password nimesahau...
Kama kichwa hicho cha uzi kinavyojieleza hapo juu
Ni kwamba hiyo simu ilidondoka kwenye maji mtoni ikaja kupatikana baada ya saa kama 1 hivi baadae
Je, kuna uwezekano ikarejea hali yake ya...
Wadau naomba kuuliza; kununua simu kwenye maduka ya jumla kuna hasara yoyote ikitokea ina tatizo? Maana ukinunua duka la rejareja leo ukirudisha unaambiwa itengenezwe upewe kwanini usipewe mpya...
fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.