Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu mambo vipi, Nina external aina ya transcend 1TB shida yangu nahitaji kupata usb ndefu atlist 1.5m manake kuchomeka kwenye tv nyuma ni risk inaweza anguka ikaleta shida zingine kama mnavojua...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu mwenye circuit ya Samsung note 5 aje tufanye biashara simu yangu imekufa circuit
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa yangu ana shida, itel yake P12 haikubali kudownload pamoja na kufanya mbinu zote..so anaomba msaada wadau. Anatumia play store.
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Habari za asubuhi The Great Thinker wa jukwaa hili adhimu la Teknolojia. Matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri katika suala zima la upambanaji. Kilichonileta leo kwenye hili jukwaa...
1 Reactions
56 Replies
10K Views
Video ninayo aina ya samsung 48" sasa nataka kutafuta msaidizi wake ambayo ni kati ya brand hzo mbili za watt 1000 na zenye bluetooth ipi ni imara na yenye mziki wa kutosha na ni bora!!???? Na je...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Iphone tunatumia lakini kuna mambo mengine ya apple tunajikaza tu, ni ya kiduwanzi ile mbaya, kimoja wapo ni hili jinamizi la iTunes, msema kweli mpenzi wa Mungu. Nenda apple app store download...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalaam, Nina gari dogo type ya Saloon Automatic 6S ambalo niliagiza 1 kwa 1 toka Japani since 2008. Mwaka jana fundi wangu alibadilisha ile original coolant to coolant ya kibongo iitwayo "Simba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari za muda huu wakuu... Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa mko salama, Wakuu radio (sabufa) aina ya SeaPiano imepata shida haitoi sauti na hata upande wa Fm radio haingei wala haiendi kila ukibadili inaandika Bluetooth ila kuwaka...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nina tatizo kwenye pc yangu: nikitumia Chrome, Torch au hata Mozilla Firefox Browsers baadhi ya websites kama JF hufunguka lakini zingine kama FB, NECTA nk hazifunguki kabisa. Nini sababu ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba msaada wakuu,ni.namna gani naweza kubadili avatar..?
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Habari wakuu? Mambo vp? Ebwana leo nimeona niwashirikishe jambo fulani na nyinyi nipate mawazo yenu na nijue pia taratibu za kisheria zimekaaje katika hili na naweza kuanzia wapi? Nimefikiria...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader. Natumia Window 10 Pro 32 bit. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo: 1. Android & IO's Apps Designing 2. Website na Graphics Designing 3. DataBase Sio lazima awe na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo wana JamiiForums, ni shida kubwa TV yangu aina ya TCL picture zipo upside down nifanyaje ili zile zinaonekana vizuri.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani,Tujadili matatizo na suluhisho la vifaa vya umeme kama vle tv,feni,redio n.k
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom