Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, Kuna tangazo nimeona huko FB, kuna simu inauzwa ni Samsung S7 lakini storage ni 128 GB Asa nauliza hivi kuna Samsung S7 ya aina hiyo?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Leo nimetest huu mshipa nilio ununua juzi kati hapo unguja ni used hapo nyuma kidogo nilikua busy sikupata muda wa kuupekua vizuri huu mshipa nilikua natoka asubuhi ukiwa fully charged matumizi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu! Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version. Yaani...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Salam wakuu, Kwa sale movie addicts wenzangu ukiachana na zile sites zetu pendwa kama vile fzmoviez, hdmp4mania etc. Nimeipata hii hapa katika kuperuziperuzi kwangu. Naona hawako vibaya na mostly...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajF, Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo. Nahitaji matangazo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Simu yangu usiku kucha imeingia 46% baada ya kuicharge. Na kila nikicharge inashuka asilimia badala ya kuongezeka. Je, shida itakuwa nini? Msaada wenu tafadhali
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Pamoja na kujichanga na kununua Tv yangu ya smart bado nilikuwa nateshwa na hawa wamiliki vingamuzi, Dstv ndo natumia: huduma mbovu, bei kubwa, mara poor weather, mara error namba fulani(...
8 Reactions
131 Replies
22K Views
Habari wakuu. Nimefuta account yangu tangu February 2018 sasa kuna watu wangu wa karibu wananipigia simu na kuniuliza nimepatwa na shida gani maana vitu nnavyoandika na kuposti huko Facebook sio...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
wakuu nina laini tatu;nikiweka tigo internet inakubali;nikiweka zain internet inakubali;nikiweka vodacom inakataa jibu linakuja setting failed sasa naomba msaada kwa mwenye ufahamu simu ni nokia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naangalia national geographic hapa wanaonyesha documentary ya space X so far sijaona mtu mweusi kwenye hii team ya space X. Ina maana watu weusi sisi haya mambo si level yetu au nini.
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Wataalam,naomba msaada. Memory card kwenye simu yangu haifungui picha wala video. Kuna siku iliniletea ku encrypt sd card,nika kubali.Siku nyingine tena simu ili stuck nika restart.Ikanitaka ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu kuna wazo nilalo la kuanzisha kituo cha kuwa na wataalamu wa Tehama na kuweza kufanya project kadhaa ambazo tunaweza kubuni wenyewe za mda mrefu na mda mfupi. Naombeni kupata...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe...
1 Reactions
6 Replies
821 Views
wakuu simu yangu nadownload toka muda ujumbe unakuja hivi tatzo linaweza kua nn??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali. Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza naomba mnifahamishe namna ya kudownload muvi kwa kutumia simu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nakumbuka wakati nipo mdogo kuna muvi baba aliinunua inaitwa Back To The Future iliyoactiwa na Mathew J FOx. Muvi hii ilikua inaonesha jinsi mtu anavoweza kusafiri katika muda (time...
0 Reactions
59 Replies
47K Views
Back
Top Bottom