Circuit hii sijai-design mimi niliipata kwenye mtandao,nikaisuka!
Imeandikwa watt 600 lakini Kama utaweka power transistor 10x2 utapata the realy 1000wattage of it!
Nimeisuka ipo powa sana,the...
Habari za Jumamosi ya leo waungwana,
Tafadhali, kwa mwenye kufahamu hatua za kufuata ikiwa unataka kuipata simu iliyopotea kwa kutumia IMEI# naomba anifahamishe.
Hii ni baada ya kutoa taarifa...
Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ?
Mwenye...
Nimekutana na simu hiyo kama mtumba ya mwezi februari ila changamoto haina play store ila ina appGallery.
Pia katika kufuatilia nimeambiwa soon huawei wata lounge harmonyOS.
Wapenzi hii kitu...
Habari wadau...naombeni kuuliza; kwa mfanano wa bei na kwa kuzingatia wakati uliopo yaani soko la kisasa, ni simu ipi ambayo utaenjoy nayo kati ya hizo 2 yaani Samsung galaxy s8+ au Samsung galaxy...
Nina PC (Min Laptop) nimekua natumia siku nyingi bila matatizo.
Lakin jana gafla nawasha inawaka lkn kwenye display haioneshi kitu (giza).
Wenye uelewa tafadhali naomba ushaur kama nitatizo...
Habari za mda huu waungwana,
Leo nimetamani nijifunze jambo jipya! Naomba nifahamishwe Internet Service Provider (ISP) wetu ni nani na njia gani imetumika mpaka internet ikatufikia hapa nchini?
Wakuu habari za sasa.....
Naomba kuuliza kwa aliyewahi kuagiza bidhaa kikuu....hivi huwa inachukua muda gani Hadi kukufikia bidhaa uliyoagiza.
Pia kwa aliyewahi kuagiza screen magnifier vipi Ni...
Wakuu, habari za Asubuhi
Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea.
Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari...
PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850
Nataka nijitahidi nichukue mpya
Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za...
Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha...
Wazimbabwe wanakampuni ya kutengeneza simu inaitwa gtel
https://gtel.co.zw/
Brand zao za simu ni infinity8s
X7plus na pro
Kwamujibu wa wikipedia
https://en.m.wikipedia.org/wiki/GTel_Zimbabwe...
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM
Natanguliza shukrani.
Ndio, kuna umuhimu gani?
For me, sioni umuhimu, kwa kuwa mpaka sasa kuna light-weight text/code editor kama Brackets, VS code na Sublme text editor, japo kuwa napennda sana kutumia Brackets na...
Wakuu naombeni msaada nikipiga window kwa pc inaniletea ujumbe huu.
MREJESHO
Shukrani wakuu nimefanikiwa. Ila kwa njia ya kudelet ile partition ya window na kuirudish ikakubali shukrani sana...
Wakuuu natumaini hamjambo wote,
Simu yangu aina ya infinix hot 8 imegoma kutuma SMS kwenye namba yeyote tatizo lilianza mchana nikakorokochoa sana nikafanikiwa kutoa jioni hii tatizo limerudi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.